Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oiiiii ep 123 aseeeeee umetishaaa hpo kma drama 7 za ep 16 [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Finally nimemalizana na gangnam scandal episode 123. Safari ndefu ila sio tamu sana imevutwa mno ingefaa kuishia episode 50
Oiiiii ep 123 aseeeeee umetishaaa hpo kma drama 7 za ep 16 [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Episodes 123,,Episodes 123??aiseeeFinally nimemalizana na gangnam scandal episode 123. Safari ndefu ila sio tamu sana imevutwa mno ingefaa kuishia episode 50
Episodes 123,,Episodes 123??aiseee
Umetumia muda gani Numby,kuimaliza yote?ee ila kimoitv imenisaidia maana episode 1 inakula mb 77 hadi 79 tu
Pia kuna hii ina season mbili naona mbeleni itakua na ya tatuLove (ft. Marriage and Divorce)Weekend yako ili uende vizuri kabisa itafute drama ya Show window: The Queen's house utajuta kupoteza bando lako. Hii drama inahusiana na Jamaa mmoja alikuwa ana mke wake but anamchepuko pembeni yaani huyu mchepuko aliyocheza hii drama kama wewe unaangalia pia umeolewa utatamani uingie kwenye tv umuue huyo binti, huyu binti anajua kukera na kuumiza kweli kweli mke wa huyo jamaa kashi kashi aliyoipata kwa huyo mchepuko mpaka nikaanza kumuonea huruma aisee binti ni mpole ila vitu alivyokuwa anafanya ni balaa.
missyrose
Numbisa
DAEMUSHIN
Kheri007
Vagabond99
Franky Samuel
Nimetumia wiki kadhaa tu😂😂😂😂😂niliianza december sema nilikua naangalia huku kitufe cha kupeleka mbele kikiwa karibuUmetumia muda gani Numby,kuimaliza yote?
Naomba jina la drama nzuri ya wanandoa iwe kama ile The World Of Married iwe ina mambo ya kucheat cheat na revenge [emoji3]
Asante sana Numby, naomba nianze na hii Love(Ft Marriage and Divorce)..kwanza Nimeipenda jina lake tu [emoji3]Kuna hii Inno kairecommend naona ni ongoing
Pia kuna hii ina season mbili naona mbeleni itakua na ya tatuLove (ft. Marriage and Divorce)
Nimetumia wiki kadhaa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niliianza december sema nilikua naangalia huku kitufe cha kupeleka mbele kikiwa karibu
Asante sana Numby, naomba nianze na hii Love(Ft Marriage and Divorce)..kwanza Nimeipenda jina lake tu [emoji3]
Hahaha kitu ambacho huwa siwezi ni kuangalia movie au series halafu niwe naiforward, huwa siwezi ni bora nikomae nayo hivyo hivyo huwa sitaki nipitwe na kitu hata kidogo [emoji3][emoji3]
Sawa Numby, nmekuelewa asante piaHii family drama kuanzia episode 1 hadi mwisho nimeangalizia kwenye simu. Maana nikiwa karibu na laptop kuna drama nyingine nikiwa kwenye mizinguko nikatulia sehemu simu mkombozi,sasa kwenye simu nipo fasta kufoward
Wewe ndio uko kama mimi... Huwa sitaki nipitwe kwenye point yoyote hata iwe ndogo namna ganiAsante sana Numby, naomba nianze na hii Love(Ft Marriage and Divorce)..kwanza Nimeipenda jina lake tu [emoji3]
Hahaha kitu ambacho huwa siwezi ni kuangalia movie au series halafu niwe naiforward, huwa siwezi ni bora nikomae nayo hivyo hivyo huwa sitaki nipitwe na kitu hata kidogo [emoji3][emoji3]
Hatutaki kumiss hata point mojaWewe ndio uko kama mimi... Huwa sitaki nipitwe kwenye point yoyote hata iwe ndogo namna gani
Sio kwamba amecheza na scriptHuyu jamaa sijui walimuokotea wapi,Yaani humu ndani kazubaaView attachment 2086663
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Numby bhana acha hizo. Usinikumbushe Park Si hoo alivyokuwa amezubaa kwenye king maker hadi nilikuwa naona uvivu kutazama drama zake zingineHuyu jamaa sijui walimuokotea wapi,Yaani humu ndani kazubaaView attachment 2086663
Kweny Itaewon Class alikuwa mse.nge kweli, nilikuja kugundua baadae sana kuwa ndio yeye. Nasubiria kwa hamu kapo ya Bobby na Yumi[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Sio kwamba amecheza na script
Mchek kwenye
Itaewon class
Her private life
My name
Yumi kaniuma kuachana nae
Hii drama inaitwajeKitaalamu tunaitaje hii?[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2087563
Sio kwamba amecheza na script
Mchek kwenye
Itaewon class
Her private life
My name
Yumi kaniuma kuachana nae
Kitaalamu tunaitaje hii?[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2087563