Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,411
- 3,077
Umecheki Different Dreams?Snowdrop mandhari kama ya reply 1988 sijui huwa wanafanyaje kurudisha mambo yote miaka ya nyuma.
Drama za 2021 nyingi wameboronga unakuta nyingine mwanzo nzuriii ila umaliziaji mbovu. Hope mwaka huu burudani itakua safi mwanzo mwisho
Ile ni 1931-1933 mazingia yake yote yamekaa kizamani i think zile location sijui zinatumika visual effects!