Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Khantwe ha tunnel bado imekugomea? kesho asubuh jaribu ukiwa na file pale kwenye imported file badili weka hivi. Kule juu weka german. halafu port 443
-5949495003610986396_121.jpg
 
kiupande wangu namchukulia yi seong gye ni mfano wa mtawala wa muda (regent) wa tawala fulani, kwa kuziangalia hizi simulizi za drama takribani drama zote zinazogusia maisha yake zinatuonyesha zaidi ushujaa wake wa kuongoza wanajeshi kuliko ushujaa wake wa kulisimamia a kuliongoza ipasavyo taifa changa mfano wa joseon ambalo limetokanwa na sadaka za damu za watu wengi.

maamuzi yake yalitokanwa zaidi na fikra za kikundi fulani cha wanasiasa au wandani wake wenye maslahi binafsi juu ya ajenda husika wanayoipigania kuliko kuangalia taathira zitakazojitokeza siku za mbeleni jambo lililopelekea aonekane kuwa ni mfalme dhaifu ila si general dhaifu

bang won ndiye aliyejenga misingi ya muda mrefu iliopelekea taifa hilo liweze kudumu kwa karne kadhaa, kwani hakuona shida kuchukua uamuzi mgumu wenye maslahi na taifa kwa uliopo au ujao na hiyo ndio sifa ya kiongozi.

tunafanya makosa makubwa sana kuusifia utawala wa mfalme sejong bila ya kuonyesha heshima ya kilichofanywa na mtangulizi wake.
bang won alipaswa aitwe mfalme wa kwanza wa joseon ila ndio hivyo kila zama na watu wake.
Sure kabisa nakubaliana na wewe

Sejong the great katembelea misingi ya ya taejong (lee bang won).

Hii drama ya sasa na Wikipedia zinaonesha kwa kiasi gani lee bang won alikuwa mtu anaethubutu kuchukua maamuzi magumu hata kama hayapendi.

Japp jamaa anaonekana alikuwa katili anaua ua watu ovyo ila hakuwa anapenda hayo mambo ila situation zinamfanya hivyo na ukichunguza utagundu wote aliowaua walikuwa kama virus hatari kwa ustawi wa jeseon changa
 
Hii drama imenifanya nikarealize kuwa niliielewa sana six flying dragons. Nilikuwa na idea ya kila tukio, ikiwemo Jeong Do Jeon alivyouawa kwenye lile daraja kwa rungu la chuma na jamaa aliyeko juu ya farasi, Bang Won kumuua Sambong n.k
Ila hii drama iko deep zaidi.

Kiukweli nipo upande wa Bang Won, japo nimekoshwa sana na umahiri wa bibie Lady Min ila mwisho wa siku Bang Won anakwenda kuwa mfalme, anapaswa kuwa juu ya wote na sio kuwa na usawa na yeyote.
Nimefurahishwa pale Bang Won alipogundua janja ya ‘fisi’ ya mkewe kujirudi kumbe alikuwa anamlaghai [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bang Won ni jembeeee [emoji1433][emoji1433][emoji1433]
Team bang won tuko hapa[emoji2]
 
Mnaotaka files ha tunnel. Nendeni telegram grup hizi hasa hilo la juu kisha search kwa hashtag ttcl zitakuja files ili kuboost file weka sh 10 au 20View attachment 2189174Settings ni zile zile imported files. kule juu unaweza kuweka german 443.. Sijui kuleta links za hayo magroup
Asante bibie kwahiyo information pia Kuna new drama ni nzuri mno inaitwa The secret house now nipo episode ya 4
 
Back
Top Bottom