talnam
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,451
- 2,830
Alchemy of souls drama nipo episode 11:
Wenzetu wametuacha mbali sana kiuandishi, huwa nafurahi sana ninapowaona hawa wafuatao wakizungumza pamoja halafu itokezee wawe wanatofautiana kimawazo
- Park jin(mkuu wa songrim) na maidservant kim doo joo...hawa watu walianza kupendana tokea walipokuwa na mwaka mmoja wa kuzaliwa lakini hakuna aliyetayari kumtamkia mwenzake.
- Mudeok na crown prince go won
- Master lee na maid servant kim doo joo
- Park dang gu anapozungumza na yeyote, navutiwa sana na khulka za huyu bwana na nywele zake za silver. Ndiyo muhusika anayenivutia zaidi humu ndani
Wenzangu munafuatilia drama gani?
Nipo empty
View attachment 2357920
Jioni ya leo nimeanza na Mimicus
Baada ya kumaliza bad mouth Ep 14 na Kings Affection
Nina viporo vya kutosha
Adamas kuanzia ep ya 10
Poong ep ya 5
Variety I Live Alone na Masked singer kama kama
Music
Nimeshusha
Trip ya cho yong pil
Violeth fragrance ya kang susie na
round round ya Na mi