Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,411
- 3,077
Sema kuna point moja umeisema nadhani inaweza kuwa ya pili why sinaga moto,drama anazowekwa za kizembe at least Empress Ki na Hwang Jini.
Secret Garden,Hospital Ship,Chocolate,The Time We Were Not In Love,King 2 Hearts zote nilifanikiwa kuziangalia ila sikuvutiwa nae kwenye hizi.
Ni Empress Ki ndio drama yake ya kwanza kuiona na kama kawaida yangu huwa nina tabia nikimuona actress kwa mara ya kwanza napekenyua na drama zake nyingine nizione.
Anyway kuna moja inakuja soon amecheza kama Chaebol Heiress inaitwa "Curtain Call" yupo na Kang Ha Neul nitajaribu kuingalia.