Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimekaa zangu na episode 2 za queen nikizivundika ziive(ziwe nne) wiki ijayo mara paap talnam huyu hapa anachekelea uhondo wa prince muan mimi ni nani nipitwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23] pole
Hujasubiri ziive/ zikuozee
Na mambo uyapendayo yapo kwake
 
Nimejikuta naitamani yi san kuivuta kimoi episode mbili za kuonja haina subtitles kwenda kissiassian. duh saa nzima inavuta episode moja tu tena ya mb 299 kufika 295 ikagoma kutwa kuongeza namba za retrying
 
Kitonga kitabaki kileleni
Screenshot_20221124-171047.jpg
 
Back
Top Bottom