Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hii vita ya "taste" ni kali mno [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
haijawahi kumuacha mtu salama na watu wanavojua kupiga spana yani drama uliyoikubali unaweza kuta mtu anainanga hatari. Sema ndio vile taste zetu haziwezi kufanana inabidi tuvumiliane
Mimi kwenye suala la tastes huwa naangalia drama yoyote ile ili mradi haina content chafu za 18+.

Nawapenda Wakorea kiasi kisichoelezeka hata hizo drama anazozungumzia jamaa nazipenda ila nachukiaga sana hizi romance zetu zinapopondwa [emoji23]
 
Mimi kwenye suala la tastes huwa naangaloa drama yoyote ile ili mradi haina content chafu za 18+.

Nawapenda Wakorea kiasi kisichoelezeka hata hizo drama anazozungumzia jamaa nazipenda ila nachukiaga sana hizi romance zetu zinapopondwa
emoji23.png
Kwanza inawezekanaje mtu ukapenda genre moja tuu yani inawezekanaje. Mimi sio muumini wa genre ya aina moja naaminigi mpaka drama imeachiwa chini ya production team yenye proffesionals lukuki basi inafaa kutazamika japo shortcomings zinakuwepo.

Mimi naamini ili mtu ufurahie kutazama k-drama basi uepushe unnecessary comparisons yaani uitazame drama jinsi ilivyo yenyewe kwa sababu every drama is unique in its own way. Yaani how come mtu uwe muumini wa genre moja tuuu sielewi maybe tunatofautiana mimi nikiangalia genre moja kwa drama zaidi ya 3 nakinai.
 
Mimi kwenye suala la tastes huwa naangaloa drama yoyote ile ili mradi haina content chafu za 18+.

Nawapenda Wakorea kiasi kisichoelezeka hata hizo drama anazozungumzia jamaa nazipenda ila nachukiaga sana hizi romance zetu zinapopondwa [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani wewe upo kama mimi yaani kwa wakorea napenda kila kitu kasoro zombies
 
Kwanza inawezekanaje mtu ukapenda genre moja tuu yani inawezekanaje. Mimi sio muumini wa genre ya aina moja naaminigi mpaka drama imeachiwa chini ya production team yenye proffesionals lukuki basi inafaa kutazamika japo shortcomings zinakuwepo.

Mimi naamini ili mtu ufurahie kutazama k-drama basi uepushe unnecessary comparisons yaani uitazame drama jinsi ilivyo yenyewe kwa sababu every drama is unique in its own way. Yaani how come mtu uwe muumini wa genre moja tuuu sielewi maybe tunatofautiana mimi nikiangalia genre moja kwa drama zaidi ya 3 nakinai.
Kweli kabisa mimi mbona huwa zinanichosha sana...siwezi kuangalia drama za genre moja tatu mfululizo
 
Sidhani kama kuna member makini wa hili jukwaa hajui kama huyu jamaa anaipenda Innocent dependant, yupo kweli?[emoji28][emoji1]

Huwa unanifurahisha sana mkuu.
Kazi nzuri lazima itajwe mkuu Ukiona hivyo hakuna drama yoyote iliyoizidi au inayofanya nilisahau hii innocent defendant
 
Back
Top Bottom