Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Naomba mnitajie movie za kikorea za zamani ambazo wanavaa nguo za kawaida kama suti nk. Mfano Bridal mask, Arrows on the bowstring, Giant

Naomba za design hii
 
Wapenzi wa OnGoing
1.Interest of love naisubiri Ep ya 09 kwa hamu hizi love triangle za kibabe humu ndani pamoja OST za moto
images%20(8).jpg
 
2.Crash course in romance EP 1& 2 ni za kuvutia vituko kidogo pamoja na visa kadhaa
*kidogo sana inataka kiendana na crazy love lakini kuna utofauti
*nasubiri EP 3
*Kuna bi mkubwa mmoja alitokea kwenye drama hizi
Agency(ambayo pia ni ongoing),She Would Never Know,Its Okay Not to be Okay,Yong Pal n.k
*role ya kuuza mgawaha
View attachment 2485353
Screenshot_20230117-003409_VLC.jpg
View attachment 2485352
 
Back
Top Bottom