Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimetizama hadi ep ya 5 naona hakukuchi nishushe kwa kitonga zilizobaki

Its an Amazing show

So- e[emoji22]
So-e mtoto mdogo anateswa na mapenzi[emoji23]

Sema alipenda sehemu sio maana Yoong Jae alifall in love at first sight kwa Seo Eun hadi anajikuta hana interest na wanawake wengjne.

Ila kwa uzuri wa Seo Eun halali yake mtoto kaumbika aisee yupo pretty from head to toe
 
Hahaha
Yani kampenda hadi basi
So eun mzuri
Ila ningekua mkaka Se jeong ndo angekua my ideal
Hahah Doctor Dong woo tangu apewe za mbavu akawa mpole[emoji3]
 
Jibu la swali nililokuwa najiuliza sana nimepata kumbe Seo Eun alikuwa Miss Korea 2021 nilitaka kushangaa ule uzuri sio wa kawaida.

Ila Jin Young ningekuwa mshauri wake ningemsihi awe na Min Su naye alikuwa Miss Korea 2020 halafu anampenda sana mshkaji ila jamaa vile hakuwa interested nae hadi mtoto wa kike alivyorudi chumbani akawa analia ooh.

Halafu ndio ideal type ya mwanamke anayetaka maana anataka aliye tayari stable ili wawe kwenye serious relationship ukizingatia Seulki ni mwanafunzi wa chuo halafu Nadine pia mwanafunzi tena fani anayosoma itamfanya awe bize sana kuanzia sasa,na hiyo ndio sababu pia Dong Woo alifuta interest yake kwa Nadine kwa sababu anajua experience ya kusomea udokta alikopitia itakuwa ngumu kuwa kwenye serious relationship.

Se Jeong nilimpenda sana ila bahati mbaya hakuwa na nyota hata Paradise hakupaona,nikiwa kama mmoja kwa shabiki yake nikatia neno insta story akaniuliza kama nataka kujoin wafuasi wake[emoji16]
 
Nkiri bana link zake zinawahi kuexpire inakua hasara tena. Nilidownload wee kupumzika kidogo nichaji simu kurudi vitu vimegoma. Dawa ni kupambana na kimoi japo mb tele kusubiri kaziView attachment 2486068Hapa ni kuzifuta zote na kuanza upya
Siku nyigin mkuu unamodify extension ya file mfano io red bag ukienda location iliko download utaikuta Kama red balloon.mkv.crdownl ichange I we red baloon.mkv sema mwishoni haitaplay mana ni incomplete download nzuri sana kwa bando za nape hii
 
Jibu la swali nililokuwa najiuliza sana nimepata kumbe Seo Eun alikuwa Miss Korea 2021 nilitaka kushangaa ule uzuri sio wa kawaida.

Ila Jin Young ningekuwa mshauri wake ningemsihi awe na Min Su naye alikuwa Miss Korea 2020 halafu anampenda sana mshkaji ila jamaa vile hakuwa interested nae hadi mtoto wa kike alivyorudi chumbani akawa analia ooh.

Halafu ndio ideal type ya mwanamke anayetaka maana anataka aliye tayari stable ili wawe kwenye serious relationship ukizingatia Seulki ni mwanafunzi wa chuo halafu Nadine pia mwanafunzi tena fani anayosoma itamfanya awe bize sana kuanzia sasa,na hiyo ndio sababu pia Dong Woo alifuta interest yake kwa Nadine kwa sababu anajua experience ya kusomea udokta alikopitia itakuwa ngumu kuwa kwenye serious relationship.

Se Jeong nilimpenda sana ila bahati mbaya hakuwa na nyota hata Paradise hakupaona,nikiwa kama mmoja kwa shabiki yake nikatia neno insta story akaniuliza kama nataka kujoin wafuasi wake[emoji16]

Hahah
Fanboy kwenye ubora wako
Duh, sio tu walishiriki ila ndo winners? Hatari
Bhana jin young sio alitaka kulelewa[emoji1787]

Nadeen, kwakweli ni kikwazo elimu na umbali, sema kwa ndoto za jinyoun za kufanya military content US wangefit, ila mifupa mingi[emoji848]
 
Back
Top Bottom