Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Shukrani mkuu japo natumia bando tofauti na la nape(Wi-Fi)
Siku nyigin mkuu unamodify extension ya file mfano io red bag ukienda location iliko download utaikuta Kama red balloon.mkv.crdownl ichange I we red baloon.mkv sema mwishoni haitaplay mana ni incomplete download nzuri sana kwa bando za nape hii
 
Hahah
Fanboy kwenye ubora wako
Duh, sio tu walishiriki ila ndo winners? Hatari
Bhana jin young sio alitaka kulelewa[emoji1787]

Nadeen, kwakweli ni kikwazo elimu na umbali, sema kwa ndoto za jinyoun za kufanya military content US wangefit, ila mifupa mingi[emoji848]
Eti mifupa,sema beauty standards zao naonaga za kikuda mtu anapunguza uzito hadi anakuwa kama skeleton[emoji23][emoji23]

Jinyoung hajamaanisha anataka kulelewa ama mwanamke stable kipesa,ni stable kimazingira yupo free hata kwa date anytime akimtaka,mwanafunzi ni ngumu sana kwa kuwa amebanwa na ratiba za masomo hata time ya kuwa pamoja mnakosa sasa hapo ndio pale ambapo watu wanaachanaga.

Min Su(26) naona ndio alikuwa sahihi kwake kwa kazi yake anamiliki brand yake ya online store na ana wafanyakazi wake hapa jamaa kuspend nae time hata weekend yote ama mid week haiwezi kuwa ngumu,ila ni kama anataka kufanyia mishe zake Korea.

Kama ana mpango wa kufanyia kazi zake Marekani seriously basi Nadine ndiye sahihi kwake,ila ana kazi sana ya kumsubiri kama atataka amuoe maana masomo ya medical yanaweza kumchukua hata miaka 4-5 toka sasa hadi kumaliza.
So jamaa ana miaka 28 hivyo atakuwa kashatimiza 33 halafu mtoto wa kike atakuwa ana 28.
Hiki ndio Dong Woo kimemshinda.

Ila alishamwabia atamsapoti hadi ndoto zake zitimie.
 
IMG_3178.jpg
 
[emoji1787][emoji1787] khaa standard za vile
Akipigwa na barid unakaonea huruma

Sema jinyoung na kipato, huoni alivyokua anajielezea sana kwanza he used to be UDT for four years kabla hajawa YouTuber, inaonyesha insecurities zake

Ulimpenda Min Su
Hahaha mi nlidhani ameletwa awe kivuruge hahah, pale alipomwambia kama akisha set macho yake sehem ni hivyo hivyo naona jy alitaman kulia

Nimetizama season One sasa kwa utulivu
Jintaek anamsemaje sooyeon baada ya kumpa ma hope yote vile
 
Curtain wamezingua sana. Ilikua kila nikiiangalia namfikiria inno anavyosonya shujaa wake kupoozeshwa kivile
Nilivyosema tu story ya Curtain sikuipenda kabisa na kikajua kabisa kama kawaida yao madirector wameshindwa kumpa heshima ha ji won kama walivyompiga na kitu kizito kwenye chocolate nashukuru kwa kunipa mrejesho japo sijaaingalia nimepata picha halisi kwa Maoni yenu humu kwa kweli nimeona nilikuwa sahihi kutoiangalia maana kila nikitaka niangalie hivyo hivyo ila moyo unasita kabisa.
 
[emoji1787][emoji1787] khaa standard za vile
Akipigwa na barid unakaonea huruma

Sema jinyoung na kipato, huoni alivyokua anajielezea sana kwanza he used to be UDT for four years kabla hajawa YouTuber, inaonyesha insecurities zake

Ulimpenda Min Su
Hahaha mi nlidhani ameletwa awe kivuruge hahah, pale alipomwambia kama akisha set macho yake sehem ni hivyo hivyo naona jy alitaman kulia

Nimetizama season One sasa kwa utulivu
Jintaek anamsemaje sooyeon baada ya kumpa ma hope yote vile
Yah nampenda Min Su pamoja na Sejeong nilitamani wapate partners ndio vile tena wanaume wana tamaa wale wanajijaza kwa mwanamke mmoja huku wanawaacha wengine wapweke.

Halafu umenikumbusha sehemu anayofanyia kazi Se Jun kama tailor ni kwa Jin Taek.

Dating shows tamu sana kuna moja naicheki now hii ni ya moto humu ndani mabusu ruksa[emoji23][emoji23]
 
Enhee ndo nliona

Wale so eun wenyewe hawakunini ile siku ya mwisho ya paradise[emoji4]

Mwanaume alikua hajielew elewi
 
Stranger again ina vibe za ki law cafe comedy nyingi story nzuri kwa episode 2 za awali nilizoziangalia

Huyu Dada Kang so Ra aliupiga mwingi sana kwenye doctor stranger
qYynr2_3m.jpg
images%20(9).jpg
 
Sijasema ni mbaya lakini ni ya kawaida tu matukio mengi yanatabirika
Mimi napenda movie zenye akili, story nzuri na isiyo na utoto ( comedy za ovyo ovyo) na yenye matukio yanayosisimua ingawa napenda isiwe tu ya time travel na horror mfano wa taste zangu ni kama Women of 1 billion dollars, dangerous wife, Vagabond, VIP, fates and furies, Empress Ki, The last, innocent defendant, big mouth n.k
 
Back
Top Bottom