Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wadau mimi naomba link au website naweza download korean series ikiwa HD angalau hata 720p
Nyingi naona ukiweka kweny TV kuanzia inch 32 inakuwa haina mvuto tena kuangalia.
 
KissAsian
KissAsian Official - Watch drama online in high quality
 
Asilimia kubwa wanayoigiza wakorea naona ni uhalisia wao,nimeona kwenye reality mbili binti anaambiwa wazi hapendwi ila bado king'ang'anizi hadi dakika za mwisho daah na kwenye maigizo ni hivyo hivyo
Karibu kila kitu tunachoona kwenye kdrama kinareflect reality.

•School Bullying(hii hata serikali inashindwa kupambana nayo) kuna mwanafunzi mwaka juzi alijiua baada ya kupitia haya huku akiripoti kwa uongozi wa shule hasikilizwi.
No wonder staa yoyote akikutwa na hii skendo huwa raia hawana msamaha kwake maana vitendo vibaya sana hivi.

•High Divorce Rates(ndoa chache sana Korea zinafungwa miaka hii na hata wanaooana huwa hawana uhakika wa kuvuka miaka 2-3 wakiwa bado pamoja.
•Overworking(kama tunavyoona kwenye drama wale watu wanafanya kazi sana wakilala sana ni masaa 4.

•Sexual Harrasments kwenye music industry(hii tuliona kwenye Minamdang ila inareflect pakubwa) kuna CEO wa Entertainment company fulani aliwaambia wasichana wamtumie picha zao wakiwa na underwear tu kiufupi uchi,but jina lake lilifichwa.
•Migogoro ya familia za kitajiri,hii imetokea mwaka jana kuna familia maarufu Korra dingi alimshambulia mwanae mmoja vibaya sana akishirikiana na mtoto wake mwingine yakiwa masuala hayahaya ya struggle for power.

•Unywaji kwa sana(hili sio geni linaeleweka)

•Wanawake kuwa obsessed na sura nzuri za wanaume(wapo tayari wawe kwenye mahusiano wanapigwa kila siku ila kikubwa mwanaume awe handsome)[emoji1316][emoji23]
Tena zaidi siku hizi wanawake wanadate na vijana wadogo kwao hata kwa miaka hata 8-15.

Yapo mengi sana yenye existence kwenye maisha yao kiufupi hawatulishi matangopori ya uongo.
 
Hiyo bullying jamani ni balaa ukiangalia watoto mambo wanayofanya hadi nywele zinasisimka.
Kuhusu sexual harassment kuna yule professor alikaliwa kooni hadi akajinyonga inasemekana alikuwa ana tabia ya kuwashikashika waigizaji wa kike wale underground
 
Duh wale watu wana maisha ya kipekee
Karibu kila kitu tunachoona kwenye kdrama kinareflect reality.

•School Bullying(hii hata serikali inashindwa kupambana nayo) kuna mwanafunzi mwaka juzi alijiua baada ya kupitia haya huku akiripoti kwa uongozi wa shule hasikilizwi.
No wonder staa yoyote akikutwa na hii skendo huwa raia hawana msamaha kwake maana vitendo vibaya sana hivi.

•High Divorce Rates(ndoa chache sana Korea zinafungwa miaka hii na hata wanaooana huwa hawana uhakika wa kuvuka miaka 2-3 wakiwa bado pamoja.
•Overworking(kama tunavyoona kwenye drama wale watu wanafanya kazi sana wakilala sana ni masaa 4.

•Sexual Harrasments kwenye music industry(hii tuliona kwenye Minamdang ila inareflect pakubwa) kuna CEO wa Entertainment company fulani aliwaambia wasichana wamtumie picha zao wakiwa na underwear tu kiufupi uchi,but jina lake lilifichwa.
•Migogoro ya familia za kitajiri,hii imetokea mwaka jana kuna familia maarufu Korra dingi alimshambulia mwanae mmoja vibaya sana akishirikiana na mtoto wake mwingine yakiwa masuala hayahaya ya struggle for power.

•Unywaji kwa sana(hili sio geni linaeleweka)

•Wanawake kuwa obsessed na sura nzuri za wanaume(wapo tayari wawe kwenye mahusiano wanapigwa kila siku ila kikubwa mwanaume awe handsome)[emoji1316][emoji23]
Tena zaidi siku hizi wanawake wanadate na vijana wadogo kwao hata kwa miaka hata 8-15.

Yapo mengi sana yenye existence kwenye maisha yao kiufupi hawatulishi matangopori ya uongo.
 
Kama mie,nimeyakanyaga kwenye love in your eyes ndo kwanzaa ipo episode ya 84 inaisha episode ya 124😂😂😂😂😂

Maana nilikua naivuta tu kila ikitoka mwisho nikajishtukia je ikiwa mbaya hivyo nikaangalia episode ya kwanza kuonja uhondo ukakolea
Mimi sio mdau wa ongoing ila hizi drama mbili Crash course in romance na Kokdu nimeshindwa kusubiria
 
Kama mie,nimeyakanyaga kwenye love in your eyes ndo kwanzaa ipo episode ya 84 inaisha episode ya 124[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Maana nilikua naivuta tu kila ikitoka mwisho nikajishtukia je ikiwa mbaya hivyo nikaangalia episode ya kwanza kuonja uhondo ukakolea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mamaa wa family dramas, pambana na hali yako
 
Back
Top Bottom