Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wakuu, naomba mwenye movies za kikorea(including IRIS) anisaidie kwa kunipm. PC ilizingua, nimezipoteza nyingi. Ahsante.
 
Kila nikiangalia ID zenu siwamalizi si nimedondokea kwenye realities mazima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Zile list mlizoweka hapa naenda nazo kimya kimya Wiki ya pili sasa nasumbuana na sixth sense season two,na mi mb ya kimoi nakomaje kusubiria[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kuitosa nimeshindwa. I miss my family drama world

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ulimwengu ni wa kipekee

Karibu tu realities

Yani mimi kila siku naanza mpya
Huku ndo una enjoy korean sense of humour

Na raha utizamie kwa 720 au 1080p

Sasaivi natizama peak time na boys planet (ongoing)
Street Woman fighter - honey j nlikua namuona kwenye i live alone but wow what a dancer

Weekly variety

King of mask singer
Running Man
I live alone (my fav

Nataka nianze Mr Trot naipenda hii genre yao ya mziki

Ambazo natizama once in a while
Immortal Song
Master in the House

Iyo sixth sense yupo jessi eeh
Yani huyo dada mcharuko kama gabee sijui umarekani.
 
Haa zote hizo😂😂😂😂😂ee yupo jessi kila nikimuangalia mdomo kama kaufanyia surgery naona kazoea umarekani hivyo kajiachia balaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ulimwengu ni wa kipekee

Karibu tu realities

Yani mimi kila siku naanza mpya
Huku ndo una enjoy korean sense of humour

Na raha utizamie kwa 720 au 1080p

Sasaivi natizama peak time na boys planet (ongoing)
Street Woman fighter - honey j nlikua namuona kwenye i live alone but wow what a dancer

Weekly variety

King of mask singer
Running Man
I live alone (my fav

Nataka nianze Mr Trot naipenda hii genre yao ya mziki

Ambazo natizama once in a while
Immortal Song
Master in the House

Iyo sixth sense yupo jessi eeh
Yani huyo dada mcharuko kama gabee sijui umarekani.
 
Haa zote hizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ee yupo jessi kila nikimuangalia mdomo kama kaufanyia surgery naona kazoea umarekani hivyo kajiachia balaa
Jessi mwili mzima ni plastic surgery na kile kitako cha surgery anapenda kukibinua mbele ya wanaume,crush wake ni Sangyeob.

Yupo straight sana allkuwa anamtogoza live kabisa[emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ulimwengu ni wa kipekee

Karibu tu realities

Yani mimi kila siku naanza mpya
Huku ndo una enjoy korean sense of humour

Na raha utizamie kwa 720 au 1080p

Sasaivi natizama peak time na boys planet (ongoing)
Street Woman fighter - honey j nlikua namuona kwenye i live alone but wow what a dancer

Weekly variety

King of mask singer
Running Man
I live alone (my fav

Nataka nianze Mr Trot naipenda hii genre yao ya mziki

Ambazo natizama once in a while
Immortal Song
Master in the House

Iyo sixth sense yupo jessi eeh
Yani huyo dada mcharuko kama gabee sijui umarekani.
Sidhani kama ni Umarekani kuna yule Mijoo ni kama copy yake kichwani wote madishi yameyumba tena nafuu Jessi huwa anajua kustop.

Sasa Mijoo huwa mambo yake akianza hata Jae Suk na Jessi hawawezi kabisa kumhandle ili atulie.
 
😂😂😂😂😂😂
Jessi mwili mzima ni plastic surgery na kile kitako cha surgery anapenda kukibinua mbele ya wanaume,crush wake ni Sangyeob.

Yupo straight sana allkuwa anamtogoza live kabisa[emoji23]
Sidhani kama ni Umarekani kuna yule Mijoo ni kama copy yake kichwani wote madishi yameyumba tena nafuu Jessi huwa anajua kustop.

Sasa Mijoo huwa mambo yake akianza hata Jae Suk na Jessi hawawezi kabisa kumhandle ili atulie.
 
Jessi mwili mzima ni plastic surgery na kile kitako cha surgery anapenda kukibinua mbele ya wanaume,crush wake ni Sangyeob.

Yupo straight sana allkuwa anamtogoza live kabisa[emoji23]

Ndo maana huwa aki twerk haliruki[emoji1787]

Embu huyu sangyeob ndo yupi tena
 
Sidhani kama ni Umarekani kuna yule Mijoo ni kama copy yake kichwani wote madishi yameyumba tena nafuu Jessi huwa anajua kustop.

Sasa Mijoo huwa mambo yake akianza hata Jae Suk na Jessi hawawezi kabisa kumhandle ili atulie.

[emoji1787][emoji1787]kama huyo kamzidi jessi basi ni kiboko

Nimeshusha sixth sense sasa[emoji91]
 
Mcheshi sana

jZg8r_5c.jpg

Back
Top Bottom