Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wapenzi kwa kpop tumempoteza Moon Bin wa ASTRO akiwa na miaka 25[emoji174]
ab9b0a6d14a491121316807a8a08a81c.jpg
 
Sad news,kama hajawahi kuigiza kdrama sijawahi muona but inaumiza kijana mdogo sana daah
Wapenzi kwa kpop tumempoteza Moon Bin wa ASTRO akiwa na miaka 25[emoji174]View attachment 2593308
shukrani nitajaribu
Chukua kissasian haizidi mb 300
😂😂😂😂😂😂raha ya drama romance
Sijaiwahi kuiangalia hasa baada ya kusikia haina hata romance.

Drama hata iwe thriller ama action isipokuwa na beautiful moment huwa nikitazama nachoka haraka
 
Sijaiwahi kuiangalia hasa baada ya kusikia haina hata romance.

Drama hata iwe thriller ama action isipokuwa na beautiful moment huwa nikitazama nachoka haraka
Mimi pia napenda romance ila kuna wakati huwa nazichoka ndio najipumzisha hapo kwenye ambazo hazina
 
Tangu mwaka uanze nilipumzika kuangalia K-drama sasa nataka nirudi mzigoni. Naomba recommendation ya historical drama zilizotoka mwaka huu
Under the Queen's umbrella
Alchemy of souls 1&2 ( hii ni fantasy)
Our blooming youth
Forbidden marriage

Nimekutajia nilizoangalia mimi pamoja na zile ambazo nina mpango wa kuziangalia
 
Back
Top Bottom