Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Khaaa [emoji23][emoji23][emoji23] sitaki hata kuiona hiyo drama sijui show...watakuwa wametumia google translate

Yan hapa niangalie ile tree maana hata sielew nani baba mzaz nan mkwe, yan mvurugano

Sehem wanazotafsir vizur kila muhemo yan utaona angry sigh mara confused sigh mara moan as if mtu husikii[emoji1787][emoji1787]
 
Hapo kwenye kutafsiri kila kitu nimeona hasa drama za Netflix (za hivi karibuni) eti door closing, laughs, footsteps approaching yaani wananiudhi
 
Hii drama Cha Seung Won(Gwanghae) utampenda episode zile akiwa tayari mfalme hata hivyo kama sikosei ni episode ya 30 alikuwa dethroned akapigwa exile ndio hakuonekana tena.

Princess Jeongmyeong(Lee Yeon Hee) na Hong Joo Won(Seo Kang Joon) ndio main characters

Ila drama kali sana hii
Hii comment nimerudi kuitafuta leo, ama hakika ilipeleka kwenye drama ambayo nafurahi sana kuifatilia.

Nipo episode ya 25 ila bado roho haitaki kabisa kuona Gwanghae akiwa dethroned.
 
Watchman ni nani na prince ni nani mim nishachoka kuiendeleza
Watchman ni Kim Shi Yeol kama unavyojua kazi ya watchman ni kumlinda kwa karibu Lee Seol ndio maana jamaa alikuwa hachezi mbali na Kang San ambaye ndiye Lee Seol halisi.

Last week kawatembezea upanga kikatili askari wote wa Chief Administrator Jang walitaka kumuua Lee Seol.

Sema kunakoelekea ndio balaa yule jamaa Jung Yoo Ha naye alikuwa ni mtoto wa deposed Crown Prince ila ni illegitimate sasa Lord Shin anataka kumpandisha kama Lee Seol feki achukue kiti cha ufalme.
 
Hii comment nimerudi kuitafuta leo, ama hakika ilipeleka kwenye drama ambayo nafurahi sana kuifatilia.

Nipo episode ya 25 ila bado roho haitaki kabisa kuona Gwanghae akiwa dethroned.
Ile vita dhidi ya Later Jin(Qing) ndio ilikuwa mwanzo wa kuanguka kwake kutokana na barua ya order aliyoaindika kuwa askari wakifika vitani wafanye maamuzi kutokana na situation hata kukimbia sasa plan ikavuja kwa maadui zake ndani ya jumba la kifalme sasa wakapata sababu ya kumuangusha.
 
Nimesha imaliza Jan yeong-sill miezi iliyopita .

*Wakorea wanajua kupangilia matukio mazungumzo na stori

*Song_ill_ Hook(Jumong) katisha sana mpaka sasa kwangu mimi ndio GOAT ,hakuna drama aliyoniangusha

*Napenda sana movies zenye njama na fitina za kisiasa katika utawala mule wamerusha.

*Picha za wakorea haswa za kijijini ni somo tosha , kama hii ina mambo mengi ya kisayansi na vipi mvumbuzi na msomi au mtafiti anatakiwa awe.
 
Sema single movie za korea ni kali

Hapa nimetoka kuitazama ile recent ya park so dam, mpaka nikaikumbuka Mr sunshine.

Napendaga sana mwanamke akiwa ndo anupiga mkono tena ule wenyew sio vikelele

Aaah kama nizaliwe enz za uhuru[emoji1787][emoji1787][emoji23] nirushe mkono maana nimefuzu style zote kwa kutizama korean[emoji16]
 
Yule binti aliyeigiza kama Queen seon deok je anajua jina lake halisi?, Je aliigiza drama gani zaidi ya ile queen seon deok?
Drama yake nyingine niliyoona inaitwa Surgeon Bong Dal-hee ilikua inarushwa na Arirang tv miaka hio.

Drama zilizoruka Arirang tv miaka hio enzi ma-dish ya Arisat ni Lobyst, The King and I, Hello my teacher, Lovers, Brilliant Legacy, Super rookie ranger, Lets go to the beach, The land (Toji),

images (1).jpeg
 
Wakuu naombeni orodha ya drama zote alizoigiza Song II Gook aliyekuwa star wa Jumong. Jamaa anajua sana aiseee
Jumong, Kingdom of the Winds, A man called god, Emperor of the sea, Jang Yeong-sil, Crime squad, Kimchi family.
Hapo nimeangalia karibu zote. Jumong ilikua drama yangu ya kwanza kuitazama. Ila ninayoikubali zaidi ni Land of the Winds ikifiatiwa na Emperor of the sea
 
Sema single movie za korea ni kali

Hapa nimetoka kuitazama ile recent ya park so dam, mpaka nikaikumbuka Mr sunshine.

Napendaga sana mwanamke akiwa ndo anupiga mkono tena ule wenyew sio vikelele

Aaah kama nizaliwe enz za uhuru[emoji1787][emoji1787][emoji23] nirushe mkono maana nimefuzu style zote kwa kutizama korean[emoji16]
Ngoja niiweke kwenye orodha. Mimi pia napenda sana drama ambazo mwanamke anatembeza mkono yani[emoji23]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Red balloon kuna kadada nilipokaona tu episode ya kwanza nikajua tu katavuruga ndoa ya mtu(mara nyingi huwa na download bila kuangalia genre wala kusoma spoiler,nilipokaona kaibiwaji nikasema kastahili kuibiwa😂😂😂)

Anyway hii drama sijaielewa ni drama niliyotumia sana kitufe cha forward
 
Kwanza kabisa nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya kidemokrasia ya watu wa Korea( DPRK) .
Kwanza ukimya huu umejawa na mengi sana moja wapo ni majukumu lakini pili kwa takribani mwaka mzima nilikuwa sina access ya kureply au ku like chochote humu Jf. Ila leo nimelifuatilia kwa kina.
@Daemusin upo uko wapi? Vipi hali yako?, wengine vipi hali zenu?
Ni siku nyingi sana nimewakumbuka sana.
 
Hatujambo. Karibu tena kwenye familia
 
Watchman ni Kim Shi Yeol kama unavyojua kazi ya watchman ni kumlinda kwa karibu Lee Seol ndio maana jamaa alikuwa hachezi mbali na Kang San ambaye ndiye Lee Seol halisi.

Last week kawatembezea upanga kikatili askari wote wa Chief Administrator Jang walitaka kumuua Lee Seol.

Sema kunakoelekea ndio balaa yule jamaa Jung Yoo Ha naye alikuwa ni mtoto wa deposed Crown Prince ila ni illegitimate sasa Lord Shin anataka kumpandisha kama Lee Seol feki achukue kiti cha ufalme.
Unaongelea drama ipi mkuu?
 
The-Devil-Judge-001.jpg

Toka mwaka 2021 mpaka sasa nimefanikiwa kuziona drama chache, na hii ni ajabu sana kwa wanaonifahamu humu ndani.
1. Tax diver
2. Under the Queen's Umbrella
3. Jackpot, Dae Baek( Royal Gambler)
4. Adamas
5. The Devil Judge
6 The Veil
7. The Boer Hunter.

Katika zote hapo the Devil Judge ndo ilo nivutia zaidi, jamaa siku ya live court anavuta attention ya Taifa zima, hukumu zake ni kiboko.
Kifupi jamaa anajua
Tangu nilipomuona kwenye
Kim Sooro, Swallow of the sun, Kill me heal me, Innocent Defendant, The Devil Judge, Adams, Dr. John na nyinginezo nyingi.
 
Back
Top Bottom