Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wakuu vipi Gunman in Joseon ni kali ? maana ninayo kwenye simu episode chache kuna kipindi niliiIgnore baada ya kuona mvaa mashuka na muvi ya pori kuna mambo ya Gun ,nimeanza kuangalia rasmi episode za mwanzo nimeanza kuvutiwa nayo na kutamani kuendelea kutizama.
 
Huo mzigo unaitwa "Ballad of Seodong" upo vizuri huo mzigo.

Halafu hawa wazee wa kutafsiri wanapenda kujitungia majina unakuta drama wanaiita "fake love", "the mask", "revenge" , "betrayal" wanajitungia majina sijui wana shida gani😀
View attachment 2714879
Nimeimaliza ,stori iko poa umetumia ila hamna maAction ya kibabe .
 
Hata iwe mimi wavaa mashuka mimi lazima kuwe na military conquest naona ya nchi mbalimbali au internal conflicts na isiwe based on love story mapenzi mengi na personal conflicts.
Kiufupi tuseme unapenda heka heka za kisiasa na mapinduzi ya kijeshi.
 
Test za mjini sasa wavaa mashuka pumzika kuwaangalia😂
Nimetest A man called God ,Moorin School na moja jina nimesahau ya kishuleshule , kuna shule wanafunzi mpaka walimu vichaa anapelekwa mwalimu bingwa siku ya kwanza kuripoti anapishana njiani na bodaboda anaendesha pikipiki hovyo njia nzima akisupply mikate alipofika geti la shule bodaboda anaingia kumbe ni mwanafunzi anapiga Job asubuhi kabla ya kuingia shule.

Hajakaa vizuri akiwa anaingia katika viunga vya shule vipande vya karatasi vinamdondekea kichwani kuokota kutizama ni mtihani umbao ulikuwa unachanwa na mwanafunzi aliyekuwa juu ya jengo ,siku ya kaanza class anafundisha kugeuka nyuma wanafunzi wote wamelala kasoro mmoja ambaye anamfuatilia kumsogelea karibu kakuta alikuwa anachorwa na mwanafunzi kama kibonzo.

Darasa lilikuwa full vituko jamaa akaselect wachache wenye afadhali akaunda study camp nje ya shule ,hatimaye wakawa vipanga nchi nzima na ila shule ikaja kuongoza .Haikuwa kazi rahisi humo kuna full vituko ,story kali ,matukio yamepangiliwa fresh na love story kwa ndani.
 
Kiufupi tuseme unapenda heka heka za kisiasa na mapinduzi ya kijeshi.
Yah humohumo umpatia 100% hata love story ikiwepo na mengineyo yakiwepo yawe ndani ya mambo hayo.Sipendi mtu episode 5 anamfukizia demu tu maudhui yote ya muvi katika episode hizo zimebase kwenye mapenzi na kufukuzia mchumba tu ,naenda kuwe na utofauti story na matukio mchanganyiko .
 
God of study
 
Aangalia the empress ki
 
Back
Top Bottom