Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Majina tu yanaonyesha ni kazi safi ,nitaanza kuzisaka sasa moja moja.
Ila Anza na innocent defendant Ndio namba moja hapo mkuu utaenjoy action na story kali yenye mtiririko mzuri wa matukio, ndani ya hiyo drama pia kuna matumizi ya akili.Ni drama yenye package iliyoshiba hata hizo zingine ni kali pia na zina story kali lakini Innocent defendant Ndio baba lao
 
Mwenye link ya hii series atupie hapa maana hii ni Moto sana weka mbali na watoto
" FANDELTALES - The Cursed Prince" ni drama ya kikorea 2023 episode zake ni DK 17.
 
Hata iwe mimi wavaa mashuka mimi lazima kuwe na military conquest naona ya nchi mbalimbali au internal conflicts na isiwe based on love story mapenzi mengi na personal conflicts.
Mwana nipe kama 5 list za wavaa mashuka zenye military conquest Kwa wingi, ukiachana na my country, king damdoek, six flying dragon,
 
Kill Me, Heal Me
Mr. Sunshine
Scarlet Heart: Ryeo
City Hunter
Six Flying Dragons
Goblin
Stranger
Healer
Love From Another Star
The Heirs
Descendants of the Sun
Two Weeks
Because This Is My First Life
Fated to Love You
Shine or Go Crazy
The Great Doctor aka Faith
The K2
The King 2 Hearts
The Prime Minister and I
Three Days
Tree With Deep Roots
Oh My Geum Bi
Dong Yi
 
Wadau nipeni list za series zenye amshaamsha kama hizi
 

Attachments

  • CYMERA_20231008_194650.jpg
    CYMERA_20231008_194650.jpg
    183 KB · Views: 10
My Dearest inarejea kesho

Ila dah ni heartbreaking sana yaliyomkuta Gil Chae tuone atatoka vp kwa haya matatizo.

Ila yule mwanamke wa Qing bounty hunter ni katili sana kwa nilvyoona katika sekunde kadhaa za trailer
 
My Dearest inarejea kesho

Ila dah ni heartbreaking sana yaliyomkuta Gil Chae tuone atatoka vp kwa haya matatizo.

Ila yule mwanamke wa Qing bounty hunter ni katili sana kwa nilvyoona katika sekunde kadhaa za trailer
Mi mwenyewe nimeicheki trailer roho imeuma,kinachonitia moyo ni yule jamaa alipost kuwa watakua na happy ending ndo nasubiri nione itafikaje hapo
Kesho ifike tu
 
Back
Top Bottom