Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Vyuma vya kichina ni 🔥🔥 🔥, Franky Samuel, Dream Queen, Mvaa Kobazi, Mac Alpho
👉Legend of chusen- s1&2
👉 Charles kilian zichukue hizi, tuta zicheki bro
View attachment 2784637
👉Joy of life s1- season 2 coming
View attachment 2784639
👉Sword snow stride ni 🔥🔥
View attachment 2784641
Hawa wachina huwa siwaelewi lugha yao haipandi.

Kuna moja ya wachina remake ya Boys over flowers inaitwa Meteor garden niliiona you tube niliishia episode ya kwanza nikatoka nduki
 
Huyo demu ananusurika kuuwawa badala yake mtoto wa primeminister anamkinga na kufa yeye, so hapo conclusion inayochukuliwa ni yeye aibe identity ya huyo mtoto wa PM aliyekufa maana (kwao alifukuzwa akiwa mdogo, maza ake ni conkabaini(spelling🤣)) so anakuja town pkus power struggle za kwenye palace mzeee wa innocent defendant hiki chuma ni kikali mimi nilikesha siku 3
 
Sijui kwanini wachina huwa hawana drama zinazoelezea historia ya nchi yao kama ilivyo korea. Huku kwenye drama za Korea tunaongeshwa kuwa China ilikuwa falme kubwa dhidi ya zile za Korea.
China napenda historical dramas zao shida wapo based kwenye fantasy too much Wuxia kwa sana.

Japo ina fiction kidogo The Long Ballad mule ilimgusa Emperor Taizong wa Tang
 
Yes, wewe sasa ndo mtaalamu, fantasy miyeyusho sana🤣
 
Tupo japo kwa kuibia ibia
Sio mbaya sipo peke yangu napenda sana za Republication era na Sino Japanese War kuna moja hiyo inaitwa Sparrow ina muendelezo wake unaitwa Insects Awaken ni ya moto sana halafu sio ya kitambo ni 2019 tu halafu kuna Heroes nayo kali ya vita hizi dhidi ya Japan
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Yes, wewe sasa ndo mtaalamu, fantasy miyeyusho sana[emoji1787]
Fantasy wanaziharibu na leaping zao za uongo too much.

Ile Alchemy Of Souls ya Korea ingekuwa ya Kichina ungeichukia ingeongezwa upuuzi mwingi sana.

Napenda vitu kama The Generals Lady
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Sio mbaya sipo peke yangu napenda sana za Republication era na Sino Japanese War kuna moja hiyo inaitwa Sparrow ina muendelezo wake unaitwa Insects Awaken ni ya moto sana halafu sio ya kitambo ni 2019 tu halafu kuna Heroes nayo kali ya vita hizi dhidi ya Japan
NItazitengea muda hizo kazi
 
Huyo demu ananusurika kuuwawa badala yake mtoto wa primeminister anamkinga na kufa yeye, so hapo conclusion inayochukuliwa ni yeye aibe identity ya huyo mtoto wa PM aliyekufa maana (kwao alifukuzwa akiwa mdogo, maza ake ni conkabaini(spelling🤣)) so anakuja town pkus power struggle za kwenye palace mzeee wa innocent defendant hiki chuma ni kikali mimi nilikesha siku 3
Story fupi tu uliotoa hapo nimeshaikubali ipo verified kuitazama mzee wa taste nimeipitisha kwa mikono miwili wewe uliicheki wapi?
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Story fupi tu uliotoa hapo nimeshaikubali ipo verified kuitazama mzee wa taste nimeipitisha kwa mikono miwili wewe uliicheki wapi?
Sikumbuki, ila myasiantv , nkiri inapatikana
 
Back
Top Bottom