Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Huyu aliyeandika story ya sparkling watermelon apewe maua yake stori ni nzuri mno cast ina chemistry hatari
...

Episode 8 za mwanzo zipo vizuri licha ya kuchanganya kidogo kwa wahusika wa time trevelled ila baada ya episode kadhaa inaeleweka naweza sema ndio best drama kwa october...

My dearest part 2 bado wanatupa vibe za kuhuzunisha sana lakini natumai kutakuwa na relief episode za mbele kidogo humu ndani kuna mfalme kazi yake ni kukohoa tu...

Nipo naangalia fight for my way,suggestion ya ongoing kali au completed tafadhali(classics) huku nikisubiri Doona kutoka kwa suzy bae (namkubali sana)
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Kuna The worst of evil ni moto
 
Vyuma vya kichina ni 🔥🔥 🔥, Franky Samuel, Dream Queen, Mvaa Kobazi, Mac Alpho
👉Legend of chusen- s1&2
👉 Charles kilian zichukue hizi, tuta zicheki bro
View attachment 2784637
👉Joy of life s1- season 2 coming
View attachment 2784639
👉Sword snow stride ni 🔥🔥
View attachment 2784641
Wachina uongo mwingi ,niliyoioenda ni ile God of War ya Zhao Yun(ZhiLong) ile ni moja ya Kati ya series kali mno ,na Destined to Love You ile ya Zhing hao ile ipo hot sana stori kali mno.
 
Unapomuaona huyu mwamba katika kola series lazima awe chawa wa nguvu ,mbea au kibaraka haijalishi awe pande ipi.

Ni General Fegnba katika King Gwangaetto , Captain Jang katika Emperor of the Sea, General Sa Bogo kwenye Dae Jo Young .Jamaa ni mzee wa habari hot kwenye uchawa hana mpinzani..
IMG_20231019_233242.jpg
 
Wachina uongo mwingi ,niliyoioenda ni ile God of War ya Zhao Yun(ZhiLong) ile ni moja ya Kati ya series kali mno ,na Destined to Love You ile ya Zhing hao ile ipo hot sana stori kali mno.
Niko nairudia destined to love you, wachina wanajitahidi ila KDrama wapo juu sana katika kucatch attention ya watazamaji bahati nzuri Kdrama huwa hawamix genres tofauti tofauti,
 
Nilijaribu lakini haikunipa vibe ya kuendelea nayo...Drama ya Moving itabaki kuwa bora kwa category ya action
Hivi hii ni drama gani.? Maana nilivyosikia habari za Moving nikaenda kukutana na drama iliyojaa fantasies, watu wanaopaa, wasiokufa. Ndio hiyo au kuna nyingine..?
 
Mkuu cheki the worst of evil ni ya moto haswa si unajua mimi ni mzee wa vitu vikali hautojuta hiyo moving nimeshindwa kuicheki cos nimeambiwa ina fantansy
 
Back
Top Bottom