Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hii ni balaa yule Ha Jeong ni kiboko anaonekana ni playgirl na ile style yake ya kubend shingo huku anakata jicho flani[emoji23][emoji23]

Kahuni sana kale
Ila Gwan hee hajakubali zile swagg maaana anaona mihemko mingi

Sijui wakiingia huko swimming pool itakuaje
 
Nitapaswa kutembea KM ngapi ili nifike kwao:-
koncho77
Hziyech22
Han Kyul
talnam
Numbisa

Mpemba kadandia boti ya bakharesa, kaja kushangaa maghorofa ya darisalama na miili mikubwa ya wasichana.

Jioni hii nimejaribu kunyoosha miguu mpaka mwenge stendi ya gari, nimechoka.

Kilichonishangaza ni kuona barabarani kunachomwa half cake kila baada ya masafa mafupi.

Ila nyie wajinga muna linchi kubwa mnoo,
dah Chief siku nyingi sana kwema humu ndani?
 
Huniambii kitu hapa, nilimkubali sana kwenye OASIS na BUSINESS PROPOSAL.
IMG_20231215_114042.jpg
 
Wengine wivu tu au ushamba. Kuna siku tigo walijisahau wakaachia internet bure kwa siku mbili, comments za mitandaoni sasa mpaka utasikitika akili za wabongo. Pia humu humu JF jukwaa la technology kuna jamaa alitangaza anauza file kwa sh 5000.
Hivi hii huwa ni kuumia wenzao kupata mserereko ama nini? Na kwa mazingira hayo, wanaofanya hivyo ni user wa mitandao mingine.
 
Kuna hii Single movie Smuggler

Kuna kitu cha welcome samdalri
My demon
Story of parks contract marriage

Wakorea wametubless hii end of year
Yani hii my demon inanichekesha balaa
Wale walotaka kumpiga demon wakaishia kucheza tango yani wamenimaliza kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yani hii my demon inanichekesha balaa
Wale walotaka kumpiga demon wakaishia kucheza tango yani wamenimaliza kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani ni drama tamu sana
Na zile lights imenoga tango
 
Back
Top Bottom