Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

playlist yako imejaa OST Kaka😃
Hiyoo ni moja Nina vitu ka hizi😁, huyo Lee hi & punch Wana jua Sana.
FB_IMG_17077158747147510.jpg
 
Director wake kabadilisha mandhari series ya kikorea imekuwa kama Roman empire kuanzia majengo ,mavazi , watu walivyojiwe , mandhari mpaka HD ya camera.

Hakuna mashuka Og ya Kigugryo au KiJoseon director amefanya suprise mule..
Hata director na mwandishi wame badilika, nilivyobona hivyo nime ikaushia.
👉Lengo lilikuwa nimwibe yule Dem😁
 
Nili angalia 1 tu, na yenyewe ili Isha kiboya, Afu season 2 Waka badilisha actors.,
Kifupi kwangu wali zingua mwishonk
Kuisha kiboya ndio jinsi zinavyokuwa tatizo watazamaji tunataka iishe tunabyotaka ndio tunafurahi ,hata Emperor of the Sea kipindi tunacheki nyumbani jinsi ilivyoisha kila mtu alihuzunika sister wangu ndio kabisa hapendi hata kuisikia kwa yaliyomtokea Jang bongo mwishoni .

Mimi mwenyewe Six flying dragon sikuoenda mwanangu Muhuyul kumaliza movie akiwa team Kataa demu , nilitarajia atamchukua Yule aliyekuwa msaidizi wake Lee Bang Ji wafaunge ndoa mwishowe mapambano yote kaishia kuishi bila family.
 
Maana yangu walikuwa na mpango wa kuleta season 2 kwa ilivyo Isha.
Ila Waka iharibu kwa kubadilisha waigizaji bro.
 
Back
Top Bottom