Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ipo vizuri sana Mimi siwezi kuchukua site nyingine zaidi ya hiyo ,sasa wahuni wamevamia ukiingia chrome ukiandika dramaCool zinakuja za mchongo ni ngumu kuipata Og , mimi nikipata tabu mpaka nikurudi nyuma page fulani katika Uzi huu nikaikuta link ndio ikaja website Og.

Series ukiibofya chini inaweka na wahusika wakuu wote na ukimclick zinakuja list za movies zake na maelezo mafupi kuhusu muhusika , ukitaka unasearch mtu vigongo vyake vyote vinakuja..View attachment 2921836
Uwe una andika drama cool.og, Hawa nime wanyooshea mkono.
Kuna hii na kiss Asian.

Sema Hawa ni 🔥🔥🔥, kikorea, kichina mpaka kijapani🤣
 
Back
Top Bottom