- Queen for seven day
- Grand prince
- 100 day my prince
drama fulani zenye stori nyepesi lakini hazichoshi kuziangalia, hata lile zee la test linaweza kujaribu ladha hizo.
Usisahau kuongezea MISSING CROWN PRINCE inayoendelea kila siku mbili za mwisho za wiki.
wapo wanaovutiwa na EXO Suho, mzanzibari navutiwa na binti Hong Ye Ji.
Uzuri wote hao ni mara yangu ya kwanza kuwaona kwenye tasnia ya sanaa
Nionyesheni muigizaji mzuri newcomer anayemzidi huyu binti, mimi nitawaonyesha mpemba anayefuga nguruwe.
Binti ana project mbili, zote historical, zote ni mwaka 2024, zote amekuwa muigizaji mkuu wa kike.
Unadhani ni bahati mbaya.
kama rahisi muulizeni dada mchungaji
View attachment 3004749