Kwa wapenzi wa love story movies

Kwa wapenzi wa love story movies

Forever my girl ni my best movie pia, nililia sana jamani, with a mixed feelings, huzuni na furaha kwa pamoja..
Nitaitafuta niirudie zile country siyo mchezo.!!
kama una sympathy lazima udondoshe chozi hasa kwenye ule wimbo "smokin & cryin"
 
Wakuu vipi na mwenye kujua movie zile za love story ambazo zinasababisha mtu aliwe kimasiharaha atupie majina maana siku ya idd nina mgeni nataka nimuwekee muvi then badae gia ibadilike angani natanguliza shukran😁
 
Walaqhi hutojutia kupoteza muda wako ila cha msingi andaa handkerchief na maji pembeni (utapoteza maji mengi mwilini), popcorn achana nazo maana hutoweza kula kwa kwikwi ya kilio!

Hi there bbyc'ssy.!!
Woow....hizo ndio movie napendaga..!

hope uko salama mamii,
 
Wakuu vipi na mwenye kujua movie zile za love story ambazo zinasababisha mtu aliwe kimasiharaha atupie majina maana siku ya idd nina mgeni nataka nimuwekee muvi then badae gia ibadilike angani natanguliza shukran😁
hhhhhhhhh
hhhhhh
hhhh
 
Crazy rich asians
The vow
Love struck (The musical)
Dear John
 
Basii mwenzio sahii nimenasika kwenye Turkish movies, ukiingia kule unakuwa addicted walaqhi'..!!

Naendelea vyema na mapambano ya maisha bbygirl, you??
afu wakaka wake ni wazurii....🤭

Mungu ni mwema sisy, nashukuru..!
 
Wakuu vipi na mwenye kujua movie zile za love story ambazo zinasababisha mtu aliwe kimasiharaha atupie majina maana siku ya idd nina mgeni nataka nimuwekee muvi then badae gia ibadilike angani natanguliza shukran😁
Tafuta movie inaitwa Love..inaanza ma amsha amsha hadi mwisho..hakuna story ni vitendo tu.
 
Kwa wale wapenzi Wa movies zenye love story nzuri na za kusisimua tukutane hapa comment movie moja yenye kusisimua na kuvutia.

Mimi kuna movie flani inaitwa forever my girl imenivutia sana story yake pamoja na vionjo vyake vya country music hutajuta kuitazama.

Naomba yeyote ambae anajua muvi nyingine atupie tukaiwatch maisha yaende vyema kabisa.
Acrimony

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think i love my wife

Hii muvi niliionaga zamani sana. 2012 sijui ninepatia jina?

komesha korona
 
Back
Top Bottom