Kwa wapenzi wa Movies na mipira, pitieni Canal+ online mpate kuburudika

Kwa wapenzi wa Movies na mipira, pitieni Canal+ online mpate kuburudika

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,492
Reaction score
1,466
Unachohitaji ni Internet ya uhakika:

Kwa watumiaji wa android au smart TV, ingia PlayStore, download Lokke.

Ukimaliza, ifungue. Kwenye search, andika vavoo.to

Baada ya hapo, channels kibao zitakuja, endelea kumove. Unaweza kuwa unapitia kwenye sub menu.
 
Back
Top Bottom