Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Thank you very muchKama Hazchem plate alivyosema . Earbuds kutokana na udogo wake kupata is itakayokaa na chaji zaidi ya masaa 5 ni ngumu.
Kwenye specifications za earbuds watakuambia inakaa masaa 20 lakini hapo wamejumuisha masaa ya charging case yake, yaani utaichaji mara 4 ndio case itaisha chaji.
Over ear Headphones, backneck na earhook zipo zinazokaa masaa 10 na kuendelea....
Nyingi zina reputation sio poaEarbuds za Xiaomi, masaa 4 mpaka 12, bei 30,000 kkoo.
Nielekeze Duka Mkuu!Earbuds za Xiaomi, masaa 4 mpaka 12, bei 30,000 kkoo.
Nahitaji wireless earbuds ambazo zinaweza kaa na charge kwa muda mrefu. Lets say masaa 8-12. Kama unazifahamh please nijulishe.
Na bei iwe rafiki tu ya kitanzania.maana nmeshanunua sana na kukuta ni bomu masaa unakuta 3-4 charge imeisha na wameniuzia tsh 50,000 + kuna mtu anasema inawezekana kupatikana za 20,000 -30,000 nzuri tu. Na zenye kukaa na charge muda mrefu
Kkoo uhuru na swahili, kama unatoka msimbazi upande wa kulia, lipo duka moja tu linalouza vifaa vya simu kwenye huo mtaa.Nielekeze Duka Mkuu!
Unapata unacholipia mkuu, na general earbuds hazina Quality compare na wired.Nyingi zina reputation sio poa
Ni xiaomi wenyewe mkuu au fake yake?Kkoo uhuru na swahili, kama unatoka msimbazi upande wa kulia, lipo duka moja tu linalouza vifaa vya simu kwenye huo mtaa.
Nahitaji wireless earbuds ambazo zinaweza kaa na charge kwa muda mrefu. Lets say masaa 8-12. Kama unazifahamh please nijulishe.
Na bei iwe rafiki tu ya kitanzania.maana nmeshanunua sana na kukuta ni bomu masaa unakuta 3-4 charge imeisha na wameniuzia tsh 50,000 + kuna mtu anasema inawezekana kupatikana za 20,000 -30,000 nzuri tu. Na zenye kukaa na charge muda mrefu
Sina uhakika mkuu, nimeziona tu, ila jamaa ana vitu vingi sana vya Xiaomi mpaka mi stick na mi box s, hivyo huenda alifungasha mzigo wao.Ni xiaomi wenyewe mkuu au fake yake?
Ok nimekusoma Mkuu asante sanaa.Kkoo uhuru na swahili, kama unatoka msimbazi upande wa kulia, lipo duka moja tu linalouza vifaa vya simu kwenye huo mtaa.
Hakika mkuuUnapata unacholipia mkuu, na general earbuds hazina Quality compare na wired.
Kwa bei hiyo huwezi pata hata a decent wired earphones...
Mie natumia Powerbeats pro ambayo naona huku bongo wanauza around 500-550k
Uzuri wa powerbeats zina ear hooks zinazozuia zisianguke na zinafaa sana kwa mazoezi.
Karibu
Naomba unitajie jina la neckband nzuri ninunue. Ambayo inakaa muda mrefu na imara pia....Kama Hazchem plate alivyosema . Earbuds kutokana na udogo wake kupata is itakayokaa na chaji zaidi ya masaa 5 ni ngumu.
Kwenye specifications za earbuds watakuambia inakaa masaa 20 lakini hapo wamejumuisha masaa ya charging case yake, yaani utaichaji mara 4 ndio case itaisha chaji.
Over ear Headphones, backneck na earhook zipo zinazokaa masaa 10 na kuendelea....
Nahitaji neckband ntapata wapi nzuri na imara...wewe unataka kuibiwa. hakuna buds zinakaa na charge kiasi hicho. Na ndio maana buds zinakuja na kikasha chake ili uwese kuchaji.
labda tafuta headphose za BT au neckbbands lakini sio Wireless buds