Model gani hii?Njoo PM.
Hii bidhaa inafaa kwa maelezo yako ww. Bei n 69500 tu.
Utaenjoy mziki mzuri sana.View attachment 1971808View attachment 1971812View attachment 1971809View attachment 1971810View attachment 1971811
So wired earphone ni bora zaidi ya hzi earbuds??Unapata unacholipia mkuu, na general earbuds hazina Quality compare na wired.
Tuliwahi kudiscuss mkuu humu conclusion kwa wakati ule ilikuwa ni Rock zircon ila ni mda sana. Pitia hapaSo wired earphone ni bora zaidi ya hzi earbuds??
Nitajie wired bora yenye clarity nzuri kwa bajeti ya 20000tsh kwa kuagiza nje
Naomba kuuliza kama hizi earbuds zinavalue for money
zinauzwa 60k
Chief naomba unisaidie.
mkuu kwa kuziangalia tu ni copy ya JBL, hio specs walizoandika sio sahihi, nunua at your own risk.Naomba kuuliza kama hizi earbuds zinavalue for money
zinauzwa 60k
Chief naomba unisaidie.
Asante chiefmkuu kwa kuziangalia tu ni copy ya JBL, hio specs walizoandika sio sahihi, nunua at your own risk.