Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walevi utawajua tuBar pembeni safar na Embassy
[emoji23][emoji23][emoji23]kibanda umiza kina raha yake asikwambie mtuupate kibanda halafu wawepo watu wanaojua kutuma maneno. Utacheka mpaka usijute kutoa hela yako.
Unaweza kuta gemu ya juv na real, halafu kuna jamaa anaitaja arsenal. Unabakia kucheka tu