INAUZWA Kwa wapenzi wa Unyunyu mkali/ Perfumes

INAUZWA Kwa wapenzi wa Unyunyu mkali/ Perfumes

View attachment 1994278
Hii kitu hata siwezi elezea yani, nafikiri ukimpelekea wife au girlfriend wako reaction yake itajieleza tu. In few words this perfumes smells classy[emoji1] ni nzuri sana kwa pisi zinazopenda kunukia kitofauti yani i’m sure hujawahi isikia hii harufu mahali. Hii ni ile perfum kila mtu anauliza samahani hicho ulichopaka kinaitwaje tafadhali!
View attachment 1994281
Hii ni kwa wale ma bachelor ambao huwa sio watu wa mambo mengi. Unataka unukie vizuri tu kila unapokwenda. Identity Man Escape.
View attachment 1994282
Hii ni wale mabinti wasio na mambo mengi ila wanataka kunukia fresh tu. Iko strong sana mwanzoni ila inakwenda na kupoa na kuwa flat and rosey i guess thats why they call it “Flirtatious” iko vizuri kwenye attention catching!

View attachment 1994297
Hii Identity Femme Fatale ni mahususi kwa wale wanawake wanaopenda ka harufu ka kimya kimya. Hii bana toka unaipuliza harufu yake ni tulivu na inakwenda na transition hio hio through its notes. Inawafaa wamama watu wazima na madada wa makamo wale wanaopenda fujo zisizoumiza! Kaharufu murua kabisa and classy! Its a seductive perfume indeed!


Karibuni for inquries!
Extrovert...

Njema
Nitaagiza mbili
 
Back
Top Bottom