Kwa war strategist tunasema hii wiki ndo ilikuwa fursa nzuri kwa Polepole na Tesha.

Agent-47

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
786
Reaction score
2,860
Mie mwanafunzi wa Sun Tzu, military general maarufu sana kutoka China.
Katika kitabu chake cha “The art of War”, Sun Tzu anasema:

“Attack when the enemy is unprepared” . shambulia wakati adui hategemei/hajajiandaa.

“Avoid wars with lengthy campaigns” epuka vita inayodumu muda mrefu

Kama Polepole na capt Tesha wangelikuwa wamefanya analysis vizuri, ujio wao ungelikuwa na nguvu sana wangelijitokeza leo tareh 25 na jumapili/jumatatu.

Kusingelikuwa na room kwa ajili ya damage control. Kama asemavyo mwalimu wangu Niccolo Machiavelli “If an injury has to be done to a man it should be so severe that his vengeance need not be feared” 👉unapomtandika mtu, mtandike kwa kiasi kwamba hata hautegemei ya kuwa atapata nguvu ya kulipiza kisasi

Wasalaam
 
“Attack when the enemy is unprepared” . 👉shambulia wakati adui hategemei/hajajiandaa.

“Avoid wars with lengthy campaigns” 👉epuka vita inayodumu muda mrefu

Kama Polepole na capt Tesha wangelikuwa wamefanya analysis vizuri, ujio wao ungelikuwa na nguvu sana wangelijitokeza leo tareh 25 na jumapili/jumatatu.

Kusingelikuwa na room kwa ajili ya damage control. Kama asemavyo mwalimu wangu Niccolo Machiavelli “If an injury has to be done to a man it should be so severe that his vengeance need not be feared” 👉unapomtandika mtu, mtandike kwa kiasi kwamba hata hautegemei ya kuwa atapata nguvu ya kulipiza kisasi

Wasalaam
Urusi haIkutumia hii ukraine, filosofia ya Sun Tzu
 
Maandalizi yaliihitajika hivyo walichokifanya kimeleta matokeo chanya baada ya muda.

Kumbuka taarifa Tanzania hazisafiri kwa kasi kubwa, kuna!watu mpaka leo hawajaziona video za polepole na Tesha, wanauluza kwani kasemaje?

Imechukua muda watu kupata ujumbe na kinachosubiriwa sasa ni surprise attack, na mass itajitokeza.

Wangetoka leo halafu maandamano tarehe 29 October wala yasingefanikiwa, lakini leo kiki nuka hata bibi kizee wa mwandiga kigoma anajua kimewaka, kwasababu taarifa wanazo.

Sasa tunajenga strategy za ku attack, Dodoma, Dar na miji mingine.

Dar vile vile lazima kuwe na strategy za ku deal na maandalizi ya police na vyombo vingine.

Kumbuka hili siyo zoezi la siku moja ni siku 10.

Kisha Tanganyika inarudi mikononi mwa wenyenchi.
 
Maandalizi yaliihotajika hivyo walichokifanya kimeleta matokeo chanya baada ya muda.
Kumbuka taarifa Tanzania hazisafiri kwa kasi kubwa, kuna!watu mpaka leo hawajaziona video za polepole na Tesha, wanauluza kwani kasemaje?
Imechukua muda watu kupata ujumbe na kinachosubiriwa sasa ni surprise attack, na mass itajitokeza.
Wangetoka leo halafu maandamano tarehe 29 October wala yasingefanikiwa, lakini leo kiki nuka hata bibi kizee wa mwandiga kigoma anajua kimewaka, kwasababu taarifa wanazo.
Sasa tunajenga strategy za ku attack, Dodoma, Dar na miji mingine.

Dar vile vile lazima kuwe na strategy za ku deal na maandaluzi ya police na vyombo vingine.

Utaduwazwa hiyo tarehe mkuu, mark my words. Kama ambavyo wewe hutashiriki na wenzio hawatashiriki vilevile
 
Kama asemavyo mwalimu wangu Niccolo Machiavelli “If an injury has to be done to a man it should be so severe that his vengeance need not be feared” 👉"unapomtandika mtu, mtandike kwa kiasi kwamba hata hautegemei ya kuwa atapata nguvu ya kulipiza kisasi"

Maana ni yenyewe. Tafsiri ya maneno kama yalivyo ni:

"Kama ni kumpa mtu kidonda, basi mpe kikubwa sana kiasi kwamba kisasi chake kiwe ni cha kuogopwa.
 
Maandalizi yaliihotajika hivyo walichokifanya kimeleta matokeo chanya baada ya muda.
Kumbuka taarifa Tanzania hazisafiri kwa kasi kubwa, kuna!watu mpaka leo hawajaziona video za polepole na Tesha, wanauluza kwani kasemaje?
Imechukua muda watu kupata ujumbe na kinachosubiriwa sasa ni surprise attack, na mass itajitokeza.
Wangetoka leo halafu maandamano tarehe 29 October wala yasingefanikiwa, lakini leo kiki nuka hata bibi kizee wa mwandiga kigoma anajua kimewaka, kwasababu taarifa wanazo.
Sasa tunajenga strategy za ku attack, Dodoma, Dar na miji mingine.

Dar vile vile lazima kuwe na strategy za ku deal na maandaluzi ya police na vyombo vingine.

Kumbuka hili siyo zoezi la siku moja ni siku 10.

Kisha Tanganyika inarudi mikononi mwa wenyenchi.
Huko sahihi!
Lakini timing ni muhimu sana kuliko uzito wa kombola. War strategist tunatumia 80/20 rule. Kanuni ya 80/20, kwa maana kuwa katika successful mission timing ni 80% na uzito wa kombola lako ni 20%.

Kuhusu watu wengine kutokujua mpaka sasa hiyo si shida. Unajua ya kwamba mpaka mwaka 1963 kuna watanganyika katika maeneo ya ndani huko walikuwa hawajapata habari za uhuru wa mwaka 1961 ? 😀

Kwa kawaida, wanaojua wamechelewa hata wakijua hawana mchango mkubwa sana.
 
Kama asemavyo mwalimu wangu Niccolo Machiavelli “If an injury has to be done to a man it should be so severe that his vengeance need not be feared” 👉"unapomtandika mtu, mtandike kwa kiasi kwamba hata hautegemei ya kuwa atapata nguvu ya kulipiza kisasi"

Maana ni yenyewe. Tafsiri ya maneno kama yalivyo ni:

"Kama ni kumpa mtu kidonda, basi mpe kikubwa sana kiasi kwamba kisasi chake kiwe ni cha kuogopwa.
Tafsiri isiyo rasmi:
Ahsante mwalimu kashasha 😃
 
Huko sahihi!
Lakini timing ni muhimu sana kuliko uzito wa kombola. War strategist tunatumia 80/20 rule. Kanuni ya 80/20, kwa maana kuwa katika successful mission timing ni 80% na uzito wa kombola lako ni 20%.

Kuhusu watu wengine kutokujua mpaka sasa hiyo si shida. Unajua ya kwamba mpaka mwaka 1963 kuna watanganyika katika maeneo ya ndani huko walikuwa hawajapata habari za uhuru wa mwaka 1961 ? 😀

Kwa kawaida, wanaojua wamechelewa hata wakijua hawana mchango mkubwa sana.
Attack ndiyo ina hitaji surprise lakini maandalizi ni muhimu sana.

Unadhani kwanini marekani haivamii Venezuela bado anapiga domo na kusogeza mitambo jirani?

Hiyo kuongea mapema una waandaa wananchi wa ndani wale wasio hafikiana na Maduro wakuunge mkono ili kazi iwe rahisi.

Kwasasa kuna!wana ccm kibao wamesemahawapigi kura, unadhani ingewezekana kwa siku mbili kuwashawishi waje upande wetu?

Ilihitajika mapema na sasa inakimbia kama moto wa nyika, na kiki nuka utashangaa hata uvcc wataimba peoples power.

Hujamsikia bi kidawa anasema miaka mitano ijayo lazima katiba mpya?

Kaanza kuelewa tumechoka.
 
Mie mwanafunzi wa Sun Tzu, military general maarufu sana kutoka China.
Katika kitabu chake cha “The art of War”, Sun Tzu anasema:

“Attack when the enemy is unprepared” . shambulia wakati adui hategemei/hajajiandaa.

“Avoid wars with lengthy campaigns” epuka vita inayodumu muda mrefu

Kama Polepole na capt Tesha wangelikuwa wamefanya analysis vizuri, ujio wao ungelikuwa na nguvu sana wangelijitokeza leo tareh 25 na jumapili/jumatatu.

Kusingelikuwa na room kwa ajili ya damage control. Kama asemavyo mwalimu wangu Niccolo Machiavelli “If an injury has to be done to a man it should be so severe that his vengeance need not be feared” 👉unapomtandika mtu, mtandike kwa kiasi kwamba hata hautegemei ya kuwa atapata nguvu ya kulipiza kisasi

Wasalaam
Muda wa polepole ulikuwa ni sahihi mnoo, maana mambo aliyosema mapema, wananchi wameweza kuyasoma na kuunganisha dots taratibu…angetoka sasa hivi ingekuwa too much infos to critically analyze…na kutekwa kwake kumethibitisha ukweli wote aliosema
 
Back
Top Bottom