Kwa wasanii wanaotegemea show kipindi hiki wanaishije?

Kwa wasanii wanaotegemea show kipindi hiki wanaishije?

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Aisee nawaonea huruma Sana wasanii wanaotegemea kuendesha maisha yao kupitia show Corona kachafua Hali ya hewa.
 
wapo walio jiongeza na kuwekeza kwenye mambo mengine
 
Kwa kila mmoja uchumi wake lazima utikisike kutokana na hili janga
 
Kama wanategemea show ili wale basi katika kipindi hiki wataicheki show
 
Back
Top Bottom