Kwa wasanii wanaotegemea show kipindi hiki wanaishije?

Kwa wafanyakazi wa hotel za kitalii msimu huu wa Corona wanaishije

Kwa wamiliki wa vibanda umiza vinavyonesha soka na sinema wao wanaishije

Je Wafanya biashara ndogo ndogo wanaotegemea taasisi za elimu kufanya biashara wao wanaishije

Vipi kuhusu Walimu wa shule za private miezi 2 au 3 ijayo watakuwa katika hali gani

Wapo wengi mno watakaothirika hapa, bora hata wasanii, wanapata kikubwa na wanaweza kusevu kikubwa, wasioofanya hivyo ni uzembe wao

Corona hali ni tete

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…