ilo liko wazi ............ila sio mzuka kumwambia mwenzio live eti cwez kukupigania hata siku moja wanawake wako kibao mm sinitaonekana chizi kukuganda ww tu
yote yanawezekana lkn ni vema kutokesema mana unamuumiza mwenzi wakoInategemea na msichana mwenyewe kama anaonesha direction and if she's serious with me but sitamwambia live kwamba ntampigania but she would see in my actions to her, but if its just a friend with benefit hata sithubutu incase mambo yakiharibika.., that are mine