Kwa wasichana tu plzzzzzzzzz

Kwa wasichana tu plzzzzzzzzz

Hapa tunazungumzia kupigana katika muktadha gani?
sio kupigana na mwanaume mwenzio kisa msichana hapana ni kumpigania mwenzio katika raha na shida kusudi ni not to loose her in anycase
 
kumegwa is a given....sasa bora upiganie tuu kama wapenda
 
kumegwa is a given....sasa bora upiganie tuu kama wapenda
ilo liko wazi ............ila sio mzuka kumwambia mwenzio live eti cwez kukupigania hata siku moja wanawake wako kibao mm sinitaonekana chizi kukuganda ww tu
 
..napiga chabo... schangii.. Ila nataman kutia neno..
 
Atakuwa siyo wangu huyo, na apenzi hapo hakuna ila kuburudishana tu.

Though itaniuma sana, maneno hayo yanachoma kumoyo.
 
ilo liko wazi ............ila sio mzuka kumwambia mwenzio live eti cwez kukupigania hata siku moja wanawake wako kibao mm sinitaonekana chizi kukuganda ww tu

Inabidi umwambie ili asiweke mategemeo makubwa.
Ila naona kama wanaume tumevamia hivi?
 
Hapo hakuna love zaidi ya dharau!kwan angekaa kimya tu bila kusema kitu ingekuaje!hiyo dharau!
 
Inategemea na msichana mwenyewe kama anaonesha direction and if she's serious with me but sitamwambia live kwamba ntampigania but she would see in my actions to her, but if its just a friend with benefit hata sithubutu incase mambo yakiharibika.., that are mine
 
yote yanawezekana lkn ni vema kutokesema mana unamuumiza mwenzi wako
 
Back
Top Bottom