Kwa wasichana tu plzzzzzzzzz

Kwa wasichana tu plzzzzzzzzz

eti ni kweli nikapigane kwa ajili yake kisa amefanya vitu ambavyo sivipendi?
are u out of ur damn mind mana sikusomi mkuu............unafanya mpaka unanipotezea dira i dont read and i will neva do....
 
sikuelewi na sikujui lkn unafanya kama vile am yours...............yani wavulana wa humu cjui wakoje,,,,,,,,,,,,,au ni kujimilikisha tu................huniwezi ww hii mashine kubwa tuliza boli
huu ni utata sasa ,,,,,pole sana lakini.
 
na wewe kuwa na akili ndio unamshauri nini hivyo mwenzako? ndio mtaishia kumegwa na kukimbiwa wewe kwa akili yako unafikiri mwanaume mwenye akili zake kila akikuona na mtu aende akapigane naye? nyie sometime hamna akili amtu anaweza kwenda kutoana manundu halafu baada ya mda mnaenda kutoa mambo pumbavu kabisa. na narudia tena sitapikuja kupigana hata siku moja kwa sababu ya mwanamke kama hanitaki aende zake huko na achukue ushauri wako atafute mwanaume ila namhaakikishia akifanya hivyo ataishia kumegwa na anatakiwa ajitambue.
naona stress za wifi umeona uniletee mm leo hapa so sorry na pole yake huyo anayekuita my love mana kapotea njia totally completely
 
Cheka bibie maisha yenyewe nusu ya robo! JK keshaharibu kila upande!
Ole wako ujiue sijui nini, nitakusaka na AshaDii, Sweetlady na Nyamayao tuicharaze fimbo maiti yako hadi itie akili!
Bora umempa tahadhari lol, mke mwenza nakupendeaga hapo tu! Maisha ya kujiua yako wapi jamani?..

Afu nimemmiss sana Nyamayao, ukimwona mwambie namtafuta!
 
ndio koz anafanya kama vile we have something.............mi nilijua ni utani ila it seems like he is serious meeeeeeeeeeeeen
mimi mwenyewe nimeona kama ni serious vile.....anyway cha muhimu ni michango ya watu na siyo kujua wahusika.(hivi ndo ninvyofikiria binafsi)
 
mimi mwenyewe nimeona kama ni serious vile.....anyway cha muhimu ni michango ya watu na siyo kujua wahusika.(hivi ndo ninvyofikiria binafsi)
tukio limenitokea mm hapa nina machungu ndio mana nikaja kutaka ushauri then yy analeta utani wa ngumi hapa mweh!
 
Mi nafikiri haina shida akisema hivyo maana hata mi cwezi kumpigania ingawa tunapendana,mimi nina limits zangu naye za kwake,kuepuka unafiki na kudanganywa ni heri kujua hili,
 
Kama unapita kimya ntachanganya na za mbayuwayu, ila ukiropokea si wa kupiganiwa aisee ya wanawake wa kenya itakuwa cha mtoto. Ntashusha timbwili mpaka atapike maziwa ya utotoni.
haaaaaaaaaaaaaaa we kweli ni noma
 
Mi nafikiri haina shida akisema hivyo maana hata mi cwezi kumpigania ingawa tunapendana,mimi nina limits zangu naye za kwake,kuepuka unafiki na kudanganywa ni heri kujua hili,
mweh! inategemea na mtu koz mm binafsi soho yangu ni nyepesi kuumia sana ikiwa nampenda sana mtu ......so tinatofautiana
 
are u out of ur damn mind mana sikusomi mkuu............unafanya mpaka unanipotezea dira i dont read and i will neva do....

mmh JF ni kiboko... wengine wanakuja kupunguza stress, wengine wanaongezea zingine
 
oooohhhh my God kumbe ni wasichana tuuuu ngoja nipite mie ni mwanamke.............................

nimepita nikusalimie tu. Nimemisi ushauri wako siku nyingi! Hapa naona wasichana wanadanganyana.
 
Back
Top Bottom