mmh JF ni kiboko... wengine wanakuja kupunguza stress, wengine wanaongezea zingine
Kuna mwanamke unaweza kumpigania lakini ukaishia kumegewa at the end anakudharau
Yeah,..
Ana kupenda sana ndo maana anakwambia ukweli.
Dah......akufukuzae hakwambii toka Aminata!!
Point ya ukwelyani acha tu mana ni machungu makali sana unampenda mtu saaaaaaaaaaana alafu yy halioni hilo...........hajui kumvalue mwanamke hata ni nini maana yake
Hapo hakuna love zaidi ya dharau!kwan angekaa kimya tu bila kusema kitu ingekuaje!hiyo dharau!
Ili umuongezee maumivu au??
mimi ni dokta wa ukweli
ntamtibu maumivu yake yote forever
au Kipipi unaona wivu? wewe si umenikataa?
Jaman upo?
ila saint ivuga wangu naomba asiguswe na mtu
sa ndio aniambie ivo mweh! i wish ningekua namiliki AK47 nikamfyatulia mbali huko..............sa ingine natamani hata kuruka from 35 mpaka chini ila kuna kitu kinaniambia ruka then umwache duniani akila raha ............ila i real want to kill him.......and i will doUkweli kwenye mahusiano ni kitu cha kizuri hee!
hao ni wadhamini tu achana nao..............we jali tatizo langu mana niko sirias natamani kunywa mpaka nipoteze fahamu...........koz i cant control ma self meeeeeen.......munachukulia utani ila mm naumia na hapa naandika huku machozi kibao yananitokabaada ya kumchana live?