Cheti cha veta cha fani gani?Nilimaliza kidato cha nne mwaka jana 2022 lakini sikufanikiwa kufanya vizuri maana nilipata div 4 ya point 33 lakini nilikuwa nahitaji kwenda kujitolea JKT kama nafasi zikitoka, nina fani ya udereva na nina leseni pamoja na cheti cha Veta, napia nina kipaji cha kuimba pamoja na kupiga vyombo vya muziki. Sasa nilihitaji kujua kama kwa wasifu huo naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama.?
Rudi shule usome ufaulu f4 mengine yataanzia hapo.Nilimaliza kidato cha nne mwaka jana 2022 lakini sikufanikiwa kufanya vizuri maana nilipata div 4 ya point 33 lakini nilikuwa nahitaji kwenda kujitolea JKT kama nafasi zikitoka, nina fani ya udereva na nina leseni pamoja na cheti cha Veta, napia nina kipaji cha kuimba pamoja na kupiga vyombo vya muziki. Sasa nilihitaji kujua kama kwa wasifu huo naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama.?
Nadhani haikuwa na sababu.... Au ukimjua ndio utampa ushauri???We mbona kama na kujua sio mjukuu wa mzee Wiliam mtoto wa mama Jeni
Hapana sio mimiWe mbona kama na kujua sio mjukuu wa mzee Wiliam mtoto wa mama Jeni
Cheti cha Veta ni cha udereva daraja "Basic driving"Cheti cha veta cha fani gani?
Leseni ya udereva ya daraja gani?
Vyombo gani vya muziki una uwezo navyo?
Asante kwa ushauri wakoSifa hizo zote zina kazi kwenye vyombo vyote vya ulinzi ila Nenda JKT kwanza hiyo ndo njiapanda pekee ya kwenda kwenye vyombo vya ulinzi kwa sasa sifa lazima upitie JKT lakini pia jiandae kwa lolote unaweza kupita huko na ajira usipate pia kwahiyo uwe na utayari usisononeke kwa lolote
Nina miaka 19Una umri gani?
Asante kwa ushauri wakoInawezekana mkuu
Asante kwa ushauri wakoRudu shule usome ufaulu f4 mengine yataanzia hapo.
Asante sana [emoji120][emoji120]Kila la kheri...
Maswala ya kuwaza kuwa kule ndio kuna watu wa aina hiyo hayo ni mawazo yako ndugu. Nilichoomba ni ushauri tu nasio kuanza kutafsiri kwa maana zako binafsi ambazo zinakuwa kama zinawashusha watu thamani yao.... Hata hivyo asante kwa ushauri wako [emoji120][emoji120]Kama hutojali... zungumza kwa maana pana unamaana gani unataka ukajiunge kwenye vyombo vya ulinzi na usalama? [emoji4]
Kule ndo unadhania wamejaa ma-bogus eti? [emoji4][emoji4][emoji4]
Rudi shule usome, angalau upate alama zitakazo kupeleka chuoni upate angalau cheti na diploma urudi jeshini ujitolee. Utakuwa na possibility kubwa sana ya kuzifikia ndoto zako endapo utakuwa na vigezo hitajika wakiwa kwenye vetting zao na wakakuona unafaa (na kama utakuwa na bahati au nyota yenye kung'aa) na unaweza kurudi masomoni ukachukua degree yako ukiwa kazini tayari na kumbuka yote hayo yanawezekana kuwa achieved kabla hata hujatimiza miaka "28"/"30" [emoji4][emoji4][emoji4]