Kwa wasifu huu naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama?

Itakuwa ngumu kupata

Vigezo vingine vyote unavyo ila iyo four ya points 33 ni kikwazo apo ni kurudia mtihani usogeze points angalau 26-29.

Pia weka akilini kuwa na vigezo pekee haitoshi unaweza kupata au kukosa.

Ila kama una connection ya maana ayo yote juu si lolote si chochote unapata vizuri tu.
 
Asante kwa ushauri wako ndugu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Miaka 19 ndio inakuchanganya tu

Ila ukitulia coz ushavua 18 age.. Unatafuta gari iwe kwenye mashirika, taasisi na watu binfasi na makampuni .. Na utaishi vzr kwa umri huo pia una cheti cha 4+lesen+cheti cha veta...uko pakubwa snaa
 
Asante kwa ushauri wako [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Naomba kuuliza. Nina miaka 19, nimemaliza kidato cha nne mwaka jana 2022 lakini sikufanya vizuri, nilipata div 4 ya point 33 lakini nina mpango wa kwenda kujitolea JKT kama nafasi zikitoka.

Nina fani ya udereva na nina leseni pamoja na cheti cha Veta, lakini pia nina kipaji kama uchezaji wa Volleyball, kuimba pamoja kupiga vyombo vya muziki.

Nahitaji kuuliza kwa wasifu huo naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama?
Ungefaulu na kufika Chuo Kikuu ungetamani kufanya kazi gani?
 
Umlinde nani and you are a form four failure

Jitolee mochwari hatutaki walinda awamu waliopata zero ndo hao risasi inapigwa juu inakuja piga raia
 
Chizi anachekesha akiwa hatokei kwenu. Chakula cha msibani ni kizuri kama msiba sio wa kwenu, unapoona mtu kaomba ushauri jaribu kutumia maneno yenye hekima ndani yake bro nakama hauwezi wewe pita wala usiongee lolote. Kufeli form four sio kufeli maisha nakufaulu form four sio kufaulu maisha...

Zingatia: Maisha yakila mwanadamu yapo mikononi mwake Mungu... Vicheko, masimango havina haja kwa mtu usiyemjua.
 
Nakushauri rudi Shule kama Private Candidate mwaka mmoja tu Ili upate Credit nzuri, Ili ukienda jeshini Huku tiari una professional maybe Diploma yako hiyo ITAKUPA option kubwa ya badae kujiendeleza tofouti na hapo ndugu kule uta hustle sana aise.. kwaiy tafuta credit kachukue Diploma yako then rudi Sasa uingie jeshini, mambo yakizingua tiar unakua una taluma yako,
Umri wako Bado mdogo sana so usiwe na haraka nenda pole pole Huku ukiseti mambo yakae sawa.

Ila kama una connection mengine yote hayo ni Bure wewe nenda tu lakin kama huna aise .. hayo ya mhimu sana Kuwa nayo

Kila la kheri mkuu Mungu akutangulie
 
Ungefaulu na kufika Chuo Kikuu ungetamani kufanya kazi gani?
Kwakweli ndugu yangu tangu utotoni ninapenda kufanya kazi kwenye vyombo vya ulinzi na usalama... Kwahiyo hata kama ningefika chuo kikuu bado mapenzi yangu yangekuwa kwenye hizo kazi.
 
Asante sana kwa ushauri wako ndugu yangu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kwakweli ndugu yangu tangu utotoni ninapenda kufanya kazi kwenye vyombo vya ulinzi na usalama... Kwahiyo hata kama ningefika chuo kikuu bado mapenzi yangu yangekuwa kwenye hizo kazi.
Safi sana. Good spirit
 
Back
Top Bottom