The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Membe akisema anaenda Chadema...... Ufipa nzima italipuka kwa shangwe bwashee!
Ni kweli. Lakini sidhani kama watampa nafasi ya kugombea urais.
Amandla...
Sio kweli..aende tu huko Nccr makohozi...ya 2015 yalitufumbua macho na ubongo piaMembe akisema anaenda Chadema...... Ufipa nzima italipuka kwa shangwe bwashee!
sisi CCM team Membe tunajua kiongozi wetu kawasilisha maombi Chadema - hapa tunasubiri kujibiwa tu kama tumekubaliwa au la ili kama vipi tuangalie plan B.Membe akisema anaenda Chadema...... Ufipa nzima italipuka kwa shangwe bwashee!
Umewaona CDM ni mafala sana, ambao hawajifunzi? Cheki na Mzee Mgaya akuhabarishe.Membe akisema anaenda Chadema...... Ufipa nzima italipuka kwa shangwe bwashee!
Makosa ya kumpa nafasi ile fisadi Lowassa 2015 hayatarudiwa tena.
Makosa ya kumpa nafasi ile fisadi Lowassa 2015 hayatarudiwa tena.
Membe akisema anaenda Chadema...... Ufipa nzima italipuka kwa shangwe bwashee!
Jasusi na chatobaby lao moja, wanawaigizia tuJasusi linalomkondesha ChattleBoy
Labda ufipa ya kwenye makalio yako!Membe akisema anaenda Chadema...... Ufipa nzima italipuka kwa shangwe bwashee!
Na ndio maana this time around Membe atagombea huko huko CCM.Mbowe alichemka sana kuingia kingi kumleta Lowassa. Alizingua sana kiukweli.
JPM kanyaga huyu snitch MaembeHebu msikilize Bernard Membe hapa kwa makini, neno kwa neno na sentensi kwa sentensi kisha sema umesikia na kuelewa nini...
Mimi bila shaka yoyote naweza kusema kuwa, huyu jamaa na CCM walio "jikoni" lao ni moja, wako kwenye mkakati mmoja lakini haujafikia kwenye ukamilifu wake...
View attachment 1490528
Na kuna uwezekano mkubwa mwaka huu wasifanikiwe kabisa kama ilivyokuwa mwaka 2015 pale walipofanikiwa kumpenyeza Lowassa kwenye kambi ya wapinzani na kuvuruga kila kitu...
mng'atoNa ndio maana this time around Membe atagombea huko huko CCM.