Watz wasiomjua RUTO ni kwamba RUTO ni mtu wa Serikali miaka na miaka. Aliingizwa serikalini na kuwa mbunge na mzee MOI kwa hiyo watanzania msishangae sana.
Rais haibuki, Anaandaliwa. Kenya sio wajinga hata UHURU alikuwa anajua hili. Watz msiwe watu wa kushngaa sana!
Rais haibuki, Anaandaliwa. Kenya sio wajinga hata UHURU alikuwa anajua hili. Watz msiwe watu wa kushngaa sana!