Kwa wasiokubali magoli ya penati pelekeni mapendekezo FIFA ziondolewe

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,833
Reaction score
8,777
Labda kama wewe sio mjuzi wa Sheria za soka.

Peneti ni moja ya adhabu zinazotolewa kwa mchezaji akimchezea vibaya mchezaji mwenzie ndani ya penati boxi.

Kuna njia moja TU ya kuzuia penati,nayo ni kucheza kwa nidhamu dhidi ya adui Yako ndani ya penati boxi,lakini ukicheza vibaya adhabu inakuhusu..

Kumbukeni Kila mchezo una Sheria zake,boxing, volleyball, basketball, hockey, cricket, Marathon n.k zina Sheria zake,hivyo ukienda kinyume na Sheria ya mchezo unaadhibiwa.

Fifa inazitambua penati,inazikubali na ni njia ya kupata matokeo.

Ila kama Kuna mtu yoyote hazipendi, FIFA hua Wana muda wa kupokea marekebisho ya Sheria na kanuni zao,hivyo nashauri kwa wale wasiozipenda wapeleke mapendekezo na hoja zao ili zifutwe.
Mchezo wa Leo kulikua na faulo 4 kwa simba na mashujaa faulo 33.

Mashujaa wamecheza bila nidhamu,wamechelewesha muda kijinga tu.

Tuache utani Simba hii Inacheza kwa nidhamu sana lkn ndio timu inayochezewa rafu sana hapa nchini na timu nyingine.
 
Mijitu Haina nidhamu uwanjani,inacheza faulo TU,hatuwezi hata kuona Raha ya mchezo,wachezaji wetu Kila wakipata mpira wakikokota mpira kupelekea golini wanaangushwa ndio mchezo Gani Sasa huo?
Watu tuanataka tuone soka mnatuletea karate kupigana mitama.
Mashujaa hawana nidhamu kabisa.
Mpira umewekwa kwa ajili ya kupiga Kona jitu linaingiza mpira mwingine uwanjani.
 
Safi sana kwa ile red card
 
Vilio ni vingi walitegemea leo tufeli ili qajw na ngonjera na kombe lao la muunganiko...limepooza kama pishi la kunde
Na Simba hua hawakubali wajingawajinga wapate hivyo vi Hela wanayoahidiwa kupitia mgongo wa Simba.
Kila timu ikicheza na Simba inaahidiwa Hela,mbona wakicheza na Yanga hakuna ahadi.?
 
20250502_204350.jpg
 
Kocha wao amesema wamefanya makosa wameadhibiwa
Kwa mfano baadhi ya watu wanailalamikia penati ya yule alieunawa.
Ukweli Ile ilikua penati halali kabisa.
Ukitaka kujua uhalisia wake hebu tazama clip yake utaona reaction ya Shabalala na reaction za watazamaji waliokua nje uwanjani upande wa tukio jinsi walivyopiga kelele Kwa pamoja kuashiria kua yule jamaa wa mashujaa aliunawa mpira.
 
Labda kama wewe sio mjuzi wa Sheria za soka.

Peneti ni moja ya adhabu zinazotolewa kwa mchezaji akimchezea vibaya mchezaji mwenzie ndani ya penati boxi.

Kuna njia moja TU ya kuzuia penati,nayo ni kucheza kwa nidhamu dhidi ya adui Yako ndani ya penati boxi,lakini ukicheza vibaya adhabu inakuhusu..

Kumbukeni Kila mchezo una Sheria zake,boxing, volleyball, basketball, hockey, cricket, Marathon n.k zina Sheria zake,hivyo ukienda kinyume na Sheria ya mchezo unaadhibiwa.

Fifa inazitambua penati,inazikubali na ni njia ya kupata matokeo.

Ila kama Kuna mtu yoyote hazipendi, FIFA hua Wana muda wa kupokea marekebisho ya Sheria na kanuni zao,hivyo nashauri kwa wale wasiozipenda wapeleke mapendekezo na hoja zao ili zifutwe.
Mchezo wa Leo kulikua na faulo 4 kwa simba na mashujaa faulo 33.

Mashujaa wamecheza bila nidhamu,wamechelewesha muda kijinga tu.

Tuache utani Simba hii Inacheza kwa nidhamu sana lkn ndio timu inayochezewa rafu sana hapa nchini na timu nyingine.
Waende CAS kupeleka malalamiko ziondolewe🤣🤣😂

CAS hoyeeeeeeeeee
 
Sidhani kama watakuelewa mkuu maana wengi humu wanatumia sana hisia zao kuliko uhalisia.Mimi ninadhani wangekuwa na hoja kama hizo penalty ni halali ama lah kama hizo penalty zilikuwa halali basi sidhani kama Kuna haja ya kulalamika.
 
Kwa mfano baadhi ya watu wanailalamikia penati ya yule alieunawa.
Ukweli Ile ilikua penati halali kabisa.
Ukitaka kujua uhalisia wake hebu tazama clip yake utaona reaction ya Shabalala na reaction za watazamaji waliokua nje uwanjani upande wa tukio jinsi walivyopiga kelele Kwa pamoja kuashiria kua yule jamaa wa mashujaa aliunawa mpira.
Waaache wazidi kuumia sisi ndo furaha yetu...tukutane j3 tena..
 
Mimi ni Mpenzi wa Mpira.
Na pia ni Mpenzi wa Simba.
Hiyo mechi nimekuja kuangalia Usiku sana, Baada ya kusikia hizo Lawama.

Mimi si Mtu wa Dhuruma.
Jamaa wapewe tu hiyo Milioni 100.
Refa amewadhurumu sana Mashujaa.
 
Back
Top Bottom