Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Na wamepigwa mashujaa,lakini vilio vimetokea mtoni.Na waache kufosi kupack bus kwa timu kama Simba...watawafukunyua tuu mpk wawafanyie faulo...na hizo ndo akili za timu kubwa...zinatafuta madhaifu yako zipate wanachotaka
Vilio ni vingi walitegemea leo tufeli ili qajw na ngonjera na kombe lao la muunganiko...limepooza kama pishi la kundeNa wamepigwa mashujaa,lakini vilio vimetokea mtoni.
Safi sana kwa ile red cardMijitu Haina nidhamu uwanjani,inacheza faulo TU,hatuwezi hata kuona Raha ya mchezo,wachezaji wetu Kila wakipata mpira wakikokota mpira kupelekea golini wanaangushwa ndio mchezo Gani Sasa huo?
Watu tuanataka tuone soka mnatuletea karate kupigana mitama.
Mashujaa hawana nidhamu kabisa.
Mpira umewekwa kwa ajili ya kupiga Kona jitu linaingiza mpira mwingine uwanjani.
Na Simba hua hawakubali wajingawajinga wapate hivyo vi Hela wanayoahidiwa kupitia mgongo wa Simba.Vilio ni vingi walitegemea leo tufeli ili qajw na ngonjera na kombe lao la muunganiko...limepooza kama pishi la kunde
Ile kadi ni halali kabisa maana yule kipa tayari alikua na kadi ya njano.Safi sana kwa ile red card
Kocha wao amesema wamefanya makosa wameadhibiwaIle kadi ni halali kabisa maana yule kipa tayari alikua na kadi ya njano.
Na jinsi alivyo Mjinga akafanya kitendo Cha dharau kuingiza mpira mwingine uwanjani wakati Kapombe alikua ameweka mpira kutaka kupiga Kona.
Hii ilikua ni dharau sana.
Wamezoea ishakua tabia sasaKila mechi ya Simba wanatoa ahadi kama kikao cha harusi bwana
Hahaha mkuu kombe la muunganiko???hahaha aiseVilio ni vingi walitegemea leo tufeli ili qajw na ngonjera na kombe lao la muunganiko...limepooza kama pishi la kunde
Kwa mfano baadhi ya watu wanailalamikia penati ya yule alieunawa.Kocha wao amesema wamefanya makosa wameadhibiwa
Waende CAS kupeleka malalamiko ziondolewe🤣🤣😂Labda kama wewe sio mjuzi wa Sheria za soka.
Peneti ni moja ya adhabu zinazotolewa kwa mchezaji akimchezea vibaya mchezaji mwenzie ndani ya penati boxi.
Kuna njia moja TU ya kuzuia penati,nayo ni kucheza kwa nidhamu dhidi ya adui Yako ndani ya penati boxi,lakini ukicheza vibaya adhabu inakuhusu..
Kumbukeni Kila mchezo una Sheria zake,boxing, volleyball, basketball, hockey, cricket, Marathon n.k zina Sheria zake,hivyo ukienda kinyume na Sheria ya mchezo unaadhibiwa.
Fifa inazitambua penati,inazikubali na ni njia ya kupata matokeo.
Ila kama Kuna mtu yoyote hazipendi, FIFA hua Wana muda wa kupokea marekebisho ya Sheria na kanuni zao,hivyo nashauri kwa wale wasiozipenda wapeleke mapendekezo na hoja zao ili zifutwe.
Mchezo wa Leo kulikua na faulo 4 kwa simba na mashujaa faulo 33.
Mashujaa wamecheza bila nidhamu,wamechelewesha muda kijinga tu.
Tuache utani Simba hii Inacheza kwa nidhamu sana lkn ndio timu inayochezewa rafu sana hapa nchini na timu nyingine.
Na wakome sasaWamezoea ishakua tabia sasa
Sidhani kama watakuelewa mkuu maana wengi humu wanatumia sana hisia zao kuliko uhalisia.Mimi ninadhani wangekuwa na hoja kama hizo penalty ni halali ama lah kama hizo penalty zilikuwa halali basi sidhani kama Kuna haja ya kulalamika.Labda kama wewe sio mjuzi wa Sheria za soka.
Peneti ni moja ya adhabu zinazotolewa kwa mchezaji akimchezea vibaya mchezaji mwenzie ndani ya penati boxi.
Kuna njia moja TU ya kuzuia penati,nayo ni kucheza kwa nidhamu dhidi ya adui Yako ndani ya penati boxi,lakini ukicheza vibaya adhabu inakuhusu..
Kumbukeni Kila mchezo una Sheria zake,boxing, volleyball, basketball, hockey, cricket, Marathon n.k zina Sheria zake,hivyo ukienda kinyume na Sheria ya mchezo unaadhibiwa.
Fifa inazitambua penati,inazikubali na ni njia ya kupata matokeo.
Ila kama Kuna mtu yoyote hazipendi, FIFA hua Wana muda wa kupokea marekebisho ya Sheria na kanuni zao,hivyo nashauri kwa wale wasiozipenda wapeleke mapendekezo na hoja zao ili zifutwe.
Mchezo wa Leo kulikua na faulo 4 kwa simba na mashujaa faulo 33.
Mashujaa wamecheza bila nidhamu,wamechelewesha muda kijinga tu.
Tuache utani Simba hii Inacheza kwa nidhamu sana lkn ndio timu inayochezewa rafu sana hapa nchini na timu nyingine.
Waaache wazidi kuumia sisi ndo furaha yetu...tukutane j3 tena..Kwa mfano baadhi ya watu wanailalamikia penati ya yule alieunawa.
Ukweli Ile ilikua penati halali kabisa.
Ukitaka kujua uhalisia wake hebu tazama clip yake utaona reaction ya Shabalala na reaction za watazamaji waliokua nje uwanjani upande wa tukio jinsi walivyopiga kelele Kwa pamoja kuashiria kua yule jamaa wa mashujaa aliunawa mpira.