jaman tusaidiane katika hili najua humu jf members tutakuwa tumekutananalo au tulikutananalo au tunakutananalo katika mahusiano yetu...,unakuwa na mpenzi ambae anakupeenda sana mpaka wewe mwenyewe unatambua kwamba mupenzi kafa kaoza,lakin tatizo linakuja kwamba mpenzi huyo anaugonjwa mkubwa wa kutokuwa mwelewa kabisa tena hasa kwa vitu vidogo vidogo tu,umejitahidi sana kumwelewesha na kumwambia tabia hiyo inakera lakin atabadilika leo, kesho anarud kule kule......... mtu wa hivi suluhisho au msaada ni upi wa kumweka sawa/aache mtabia huo nawe unakereka kila siku.
Umenikumbusha kuhusu thread niliyo anzisha leo ya "fireproof".
Jamaa alikuwa ana mlalamikia sana mke wake kuwa ame change,
hampendi,ana mjibu hovyo,hamwandalii chakula,...etc.
Lakini alipo ambiwa na rafiki yake chanzo chaweza kuwa ni yeye
alikasirika sana,akidai yeye "ana mfanyia kila kitu,anampa hela,kamnunulia gari,
analipa gharama za nyumba" etc.....Lakin alisahau kwamba mke wake alihitaji vitu
vingine kabisa toka kwake na alivyo kuwa anampa ni vya ziada tu na akawa anaacha
kile cha muhimu kabisa "KUMPA MUDA MWENZAKE NA KUMSIKILIZA".
Yeye alikuwa muongeaji sana,akitegemea mke wake awe mtekelezaji.
Mara nyingi sana,watu wa kwanza kulalamika ndo huwa wana matatizo katika
mahusiano husika,.....
Chukua msalaba huo bro,mfanyie mwenzako vile unavo dhani "hustahili"
kumfanyia kwa kuwa wewe ni "mwanaume" then utaona matokeo yake.
Ila hayo yote yafanye kama kweli una mpenda,yata mvuta karibu na hata
kama hakupendi basi ata jifunza kupenda,....ni kawaida yao wadada.
Mara nyingi wanakuwa slow katika kupenda,lakini wakisha penda sio wepesi
kuondoa mapenzi yao.
Kuna principle flan za kuumizana nitazileta one day,....Hurt ni kama cycle.
Kama una fikiria kumuacha unaweza kumuumiza,nae ataumiza,...na wewe utakuja kuumizwa tena na
tena,....hebu tuvunje hii chain,......msikilize mwenzako.