Kwa 'Wasomi' wetu: Badilikeni, mnatia aibu

Wewe pia badilika.Hapo kwenye masuala ya tehama laumu CCM,sio wasomi unaowataja.Angalia mfumo wa elimu somo la tehama MTU anakutana nalo chuo,tena hapo atasoma semester mbili Tu unategema awe competent?Wewe iamboe CCM somo la tehama lifundishwe kuanzia nursery uone Nani ataomba kusaidia kwenye simu/computer
Wamekuskia mkuu
 
CCM imefanyaje...? Wewe umechukua hatua gani za kujiendeleza? Siku hizi na mtandao wa internet unaweza kujifunza chochote kile online na ukawa competent. Ufahamu wa kawaida kabisa inabidi uwe nao.
 
Wewe pia badilika.Hapo kwenye masuala ya tehama laumu CCM,sio wasomi unaowataja.Angalia mfumo wa elimu somo la tehama MTU anakutana nalo chuo,tena hapo atasoma semester mbili Tu unategema awe competent?Wewe iamboe CCM somo la tehama lifundishwe kuanzia nursery uone Nani ataomba kusaidia kwenye simu/computer
Japo kuwa wamekuskiaa...

Ila ndo mtu akalipe kufunguliwa WhatsApp kwenye simu? 🙂
 
Vitu vingine ni utundu tu! Labda msomi hana huo mda. Simu Ina mambo mengi, ni utundu wako tu kuvijua. Unaweza kukuta professor hajui vizuri kiingreza ila mwanafunzi wa kawaida anajua, ni swala la mda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh , mie sio msomi, mkuu Pili hakuna mahala nimeandika kukosea spellings ni tatizo. Asante.
Sasa kama sio msomi unakosoaje wasomi na hujui walichokisomea mjomba! Ulipaswa kuomba muongozo kwa hao wasomi kisha ndo uone kama unakosoa au la. Nazani ukasome kwanza
 
Kuingiza nyimbo sijui movies ni kazi za watu tunagawana riziki, kudanilodi ni gharama hivyo ni rahisi kununua zilizo tayari ambayo bei ni nafuu kuliko bando….. usiamini kila unachokiona.
 
Back
Top Bottom