Kwa 'Wasomi' wetu: Badilikeni, mnatia aibu

Wamekuskia mkuu
 
CCM imefanyaje...? Wewe umechukua hatua gani za kujiendeleza? Siku hizi na mtandao wa internet unaweza kujifunza chochote kile online na ukawa competent. Ufahamu wa kawaida kabisa inabidi uwe nao.
 
Japo kuwa wamekuskiaa...

Ila ndo mtu akalipe kufunguliwa WhatsApp kwenye simu? 🙂
 
Vitu vingine ni utundu tu! Labda msomi hana huo mda. Simu Ina mambo mengi, ni utundu wako tu kuvijua. Unaweza kukuta professor hajui vizuri kiingreza ila mwanafunzi wa kawaida anajua, ni swala la mda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh , mie sio msomi, mkuu Pili hakuna mahala nimeandika kukosea spellings ni tatizo. Asante.
Sasa kama sio msomi unakosoaje wasomi na hujui walichokisomea mjomba! Ulipaswa kuomba muongozo kwa hao wasomi kisha ndo uone kama unakosoa au la. Nazani ukasome kwanza
 
Kuingiza nyimbo sijui movies ni kazi za watu tunagawana riziki, kudanilodi ni gharama hivyo ni rahisi kununua zilizo tayari ambayo bei ni nafuu kuliko bando….. usiamini kila unachokiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…