Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
- Thread starter
- #21
Itakuwa imewafikia.Poleni wafiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa imewafikia.Poleni wafiwa.
TBC ilikuwepo kabla ya RTD. Kuanzia miaka ya 50s kwa Kirefu ikimaanisha Tanganyika Broadcasting corporation . Tulipo ungana jina la Tanzania likachukua nafasi mpaka July 1 1965 ilipozaliwa RTD. Hii TBC ya Sasa imeanza miaka ya utawala wa Rais BWMTbc imeanza karibuni,miaka hiyo ilikuwa inaitwa RTD kama sikosei.
RIP
Ndo nasikia kwako Leo jambo hili. Mimi wakati naanza kusikia redio za serikali nilisikia RTD (Redio Tanzania Dar ess salaam) Na nilivyoanza kuangalia televisheni za serikali nikaangalia TVT ( Televisheni ya Taifa )TBC ilikuwapo kabla ya RTD, halafu ikaja RTD. Halafu ikarudi TBC.
Ndo nasikia kwako Leo jambo hili. Mimi wakati naanza kusikia redio za serikali nilisikia RTD (Redio Tanzania Dar ess salaam) Na nilivyoanza kuangalia televisheni za serikali nikaangalia TVT ( Televisheni ya Taifa )TBC ilikuwepo kabla ya RTD. Ila za miaka ya 50s kwa Kirefu ikimaanisha Tanganyika Broadcasting corporation. Tulipo ungana jina a Tanzania likachukua nafasi mpaka July 1 1965 ilipozaliwa RTD. Hii TBC ya Sasa imeanza miaka ya utawala wa Rais BWM
Tafuta mahojiano ya Balozi Mustafa Nyang'anyi alihojiwa na Mubelwa Bandio.Ndo nasikia kwako Leo jambo hili. Mimi wakati naanza kusikia redio za serikali nilisikia RTD (Redio Tanzania Dar ess salaam) Na nilivyoanza kuangalia televisheni za serikali nikaangalia TVT ( Televisheni ya Taifa )
Mwingereza alianzisha Shirika la Utangazaji Tanganyika(TBC), Nyerere akaibadili kuwa Redio Tanzania Dar es Salaam.Tbc imeanza karibuni,miaka hiyo ilikuwa inaitwa RTD kama sikosei.
RIP