Kwa wastaafu wa TBC waliokuwepo kazini miaka ya 60 na waliokuwa wapenzi wa kusikiliza TBC miaka ya 60, tanzia hii huenda inawahusu

Tbc imeanza karibuni,miaka hiyo ilikuwa inaitwa RTD kama sikosei.
RIP
TBC ilikuwepo kabla ya RTD. Kuanzia miaka ya 50s kwa Kirefu ikimaanisha Tanganyika Broadcasting corporation . Tulipo ungana jina la Tanzania likachukua nafasi mpaka July 1 1965 ilipozaliwa RTD. Hii TBC ya Sasa imeanza miaka ya utawala wa Rais BWM
 
TBC ilikuwapo kabla ya RTD, halafu ikaja RTD. Halafu ikarudi TBC.
Ndo nasikia kwako Leo jambo hili. Mimi wakati naanza kusikia redio za serikali nilisikia RTD (Redio Tanzania Dar ess salaam) Na nilivyoanza kuangalia televisheni za serikali nikaangalia TVT ( Televisheni ya Taifa )
 
TBC ilikuwepo kabla ya RTD. Ila za miaka ya 50s kwa Kirefu ikimaanisha Tanganyika Broadcasting corporation. Tulipo ungana jina a Tanzania likachukua nafasi mpaka July 1 1965 ilipozaliwa RTD. Hii TBC ya Sasa imeanza miaka ya utawala wa Rais BWM
Ndo nasikia kwako Leo jambo hili. Mimi wakati naanza kusikia redio za serikali nilisikia RTD (Redio Tanzania Dar ess salaam) Na nilivyoanza kuangalia televisheni za serikali nikaangalia TVT ( Televisheni ya Taifa )
 
Ndo nasikia kwako Leo jambo hili. Mimi wakati naanza kusikia redio za serikali nilisikia RTD (Redio Tanzania Dar ess salaam) Na nilivyoanza kuangalia televisheni za serikali nikaangalia TVT ( Televisheni ya Taifa )
Tafuta mahojiano ya Balozi Mustafa Nyang'anyi alihojiwa na Mubelwa Bandio.

Alielezea maisha yake alivyokuwa mtangazaji wa TBC miaka ya 1960s.

TBC ya awali (Tanganyika Broadcasting Corporation) ilivunjwa kwa sheria ya Bunge ya mwaka 1975

Angalia historia ya TBC hapa.

Kwa wanaopenda kufuatilia historia ya TBC ya zamani, fuatilieni mahojianoya Mubelwa Bandio na Balozi Mustafa Nyang'anyi, balozi Nyang'anyi akielezea maisha yake na uzoefu wake kama mtangazaji wa TBC ya awali.

Mahojiano na Balozi Mustapha Nyang'anyi (Pt 1)​

View: https://www.youtube.com/watch?v=gyrsaA1_0qw

Mahojiano na Balozi Mustapha Nyang'anyi (Pt 2)​

View: https://www.youtube.com/watch?v=P0GgQx92J3c

Mahojiano na Balozi Mustapha Nyang'anyi (Pt 3)​

View: https://www.youtube.com/watch?v=hLSGBvpc5Es

Mahojiano na Balozi Mustapha Nyang'anyi (Pt 4)​

View: https://www.youtube.com/watch?v=QA4WXDejB84
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…