Hahahahahahahahahaa
Ni swali ambalo unaweza ukamuuliza mwanafunzi, wapi pana kosa! Ninaamini wewe unajuwa kosa lipo wapi. Kama unafahamu kuwa zero divide by zero can be certain number, depending to the nature of the numerator and denominator....kama ni zero gawanya kwa zero basi tunaweza kutumia L'Hospitals rule.
Kwanini nasema zero gawia zero? Ulipofika x-y/x-y; hi ni sawa na 0/0 maana x=y. Sasa ikiwa hiyo Never conclude kwamba ni 1.
Ninaamini nimeeleweka wapi palipo kufanya u-conclude kuwa jibu ni moja. Jiulize kwanini namba yoyote ukiigawa yenyewe kwa yenyewe jibu ni moja lakini 0 gawa kwa 0 si moja?
Wengine tuliacha kusoma HESABU darasa la nne na kuanza kusoma HISABATI. Kwa hiyo kukubishia ni rahisi tu!!!!
nenda kasome MAGAZIJUTO huwezi kugawanya bila kufungua mabano utakuta 0/0 is undefined,Je unajua kuwa 2 = 1?
Wataalam wa hesabu tunasema kuwa kama x=y
basi 2x=2y
kwahiyo 2x-x = 2y-y si sawa?
Maana yake ni kuwa 2x-2y = x-y hapo hakuna ubishi naamini.
Hii ni sawa na kusema 2(x-y) = (x-y)
kwamba 2(x-y)/(x-y) = (x-y)/(x-y)
Na hiyo inathibitisha kuwa 2 = 1
Kwa wasiojua hesabu watabaki wanatoa mimacho, hawaelewi kitu halafu bahati mbaya watabisha!
Good Day Mathematicians!
hakuna ki2 km hicho,labda ulisoma kipind mungai ni wazir wa elimuJe unajua kuwa 2 = 1?
Wataalam wa hesabu tunasema kuwa kama x=y
basi 2x=2y
kwahiyo 2x-x = 2y-y si sawa?
Maana yake ni kuwa 2x-2y = x-y hapo hakuna ubishi naamini.
Hii ni sawa na kusema 2(x-y) = (x-y)
kwamba 2(x-y)/(x-y) = (x-y)/(x-y)
Na hiyo inathibitisha kuwa 2 = 1
Kwa wasiojua hesabu watabaki wanatoa mimacho, hawaelewi kitu halafu bahati mbaya watabisha!
Good Day Mathematicians!
hakuna ki2 km hicho,labda ulisoma kipind mungai ni wazir wa elimu
Babu,Je unajua kuwa 2 = 1?