Kwa wataalam wa lugha hii imekaaje

Kwa wataalam wa lugha hii imekaaje

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Sina maneno nimeona hii statement nikashangaa kiingereza cha siku hizi Hamisi Kigwangala anawezaje kuwa "..her" soma hapa chini

Hamisi Kigwangalla is astonished by this confidence.
Hamisi Kigwangalla handed her smartphone to Jenerali Ulimwengu, who then signed up for the project at this link . Five minutes later, Jenerali Ulimwengu returned the phone to her .

1729511553156.png

Source:

SOMA ZAIDI HAPA

View attachment 3131606
Source:

SOMA ZAIDI HAPA

Duuh me_Her!
 
Pengine ana Jinsia mbili🥺🥺🥺
 
Walikuwa wakijadili nini?, na hicho ndiyo cha msingi na siyo hayo makosa madogo.
 
Sina maneno nimeona hii statement nikashangaa kiingereza cha siku hizi Hamisi Kigwangala anawezaje kuwa "..her" soma hapa chini

Hamisi Kigwangalla is astonished by this confidence.
Hamisi Kigwangalla handed her smartphone to Jenerali Ulimwengu, who then signed up for the project at this link . Five minutes later, Jenerali Ulimwengu returned the phone to her .

View attachment 3131606
Source:

SOMA ZAIDI HAPA

Hiyo bado ni sentensi tata.Huyo "her" Inawezekana si Hamisi bali kuna mtu/mwanamke aliyelengwa.Ngoja nisome.
 
Tuletee habari kamili; kwa haraka haraka mi naona kuna mtu 3 mwenye jinsia ya kike yupo hapo but hatajwi jina cause is like katajwq ju huko kwenye mwanzo wa story
Haiwezi kuwa her, ilikuwa lazima aandike his. Alishaanza na noun (Kigwangala) so hiyo pronoun ilikuwa lazima iwe his. Kumbuka kinachoongelewa hapo ni Kingwangala kukabidithi simu yake (his phone)kwa huyo mtu mwingine
 
Tuletee habari kamili; kwa haraka haraka mi naona kuna mtu 3 mwenye jinsia ya kike yupo hapo but hatajwi jina cause is like katajwq ju huko kwenye mwanzo wa story
Asante kwa kuliona hill mkuu! Mleta mada anataka kutuaminisha kwamba Jen. Ulimwengu alikuwa na simu ya Mh. Kigwangalla na akairudisha kwake kumbe hapo kati kuna Madam ndiye mwenye hiyo simu!
 
Hamisi Kigwangalla handed her smartphone [Leyla's smartphone, for example] to Jenerali Ulimwengu, who then signed up for the project at this link . Five minutes later, Jenerali Ulimwengu returned the phone to her [to Leyla].

Hamisi Kigwangalla handed Leyla's smartphone [her smartphone] to Jenerali Ulimwengu, who then signed up for the project at this link . Five minutes later, Jenerali Ulimwengu returned the phone to Leyla [her].
 
Hamisi Kigwangalla handed her smartphone [Leyla's smartphone, for example] to Jenerali Ulimwengu, who then signed up for the project at this link . Five minutes later, Jenerali Ulimwengu returned the phone to her [to Leyla].
Labda kigwa alikuwa na simu ya mwanamke akampa Ulimwengu na Ulimwengu akampa yule ke simu yake! Vinginevyo kama sivyo basi lugha ya watz Iko poor sana!
 
Hapana mkuu kumbe ni kweli hawa waandishi wa siku hizi Kizunguzungu kinawapiga chenga. Nimesoma habari nzima inaonesha alikuwa anamaanisha simu ya Kigwangalla. Kwamba alimpatia simu yake Jenerali Ulimwengu naye akaingia kwenye link ya Equinox. Kazi kweli kweli!
 
Kama ndivyo, basi huyo mwandishi huenda alimwelewa dokta kama HamisA, na wala si Hamisi tunayemfahamu.
 
kama sivyo basi lugha ya watz Iko poor sana
Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi (2022), idadi ya Watanzania ni takribani milioni 61. Unawezaje kuhitimisha kwamba hao wote lugha yao ni mbovu ukitumia mfano huu mmoja?

Au nami nihitimishe kwamba weledi wa Watanzania kiutafiti ni duni mno?

Aidha, nimegundua kwamba una uandishi fulani mbovu kupindukia. Je, ndivyo Watanzania wote 61M walivyo?
 
kumbe hapo kati kuna Madam ndiye mwenye hiyo simu!
Kwenye mahojiano wako wawili tu Kigwangala na Jen World na hata picha inawaonyesha wako wawili tu na bilauli za maji ni mbili tu mezani hakuna mwanamke hapo
 
Back
Top Bottom