Duuh me_Her!Sina maneno nimeona hii statement nikashangaa kiingereza cha siku hizi Hamisi Kigwangala anawezaje kuwa "..her" soma hapa chini
Hamisi Kigwangalla is astonished by this confidence.
Hamisi Kigwangalla handed her smartphone to Jenerali Ulimwengu, who then signed up for the project at this link . Five minutes later, Jenerali Ulimwengu returned the phone to her .
View attachment 3131606
Source:
SOMA ZAIDI HAPA
Pengine ana Jinsia mbili🥺🥺🥺Sina maneno nimeona hii statement nikashangaa kiingereza cha siku hizi Hamisi Kigwangala anawezaje kuwa "..her" soma hapa chini
Hamisi Kigwangalla is astonished by this confidence.
Hamisi Kigwangalla handed her smartphone to Jenerali Ulimwengu, who then signed up for the project at this link . Five minutes later, Jenerali Ulimwengu returned the phone to her .
View attachment 3131606
Source:
SOMA ZAIDI HAPA
Hiyo bado ni sentensi tata.Huyo "her" Inawezekana si Hamisi bali kuna mtu/mwanamke aliyelengwa.Ngoja nisome.Sina maneno nimeona hii statement nikashangaa kiingereza cha siku hizi Hamisi Kigwangala anawezaje kuwa "..her" soma hapa chini
Hamisi Kigwangalla is astonished by this confidence.
Hamisi Kigwangalla handed her smartphone to Jenerali Ulimwengu, who then signed up for the project at this link . Five minutes later, Jenerali Ulimwengu returned the phone to her .
View attachment 3131606
Source:
SOMA ZAIDI HAPA
Haiwezi kuwa her, ilikuwa lazima aandike his. Alishaanza na noun (Kigwangala) so hiyo pronoun ilikuwa lazima iwe his. Kumbuka kinachoongelewa hapo ni Kingwangala kukabidithi simu yake (his phone)kwa huyo mtu mwingineTuletee habari kamili; kwa haraka haraka mi naona kuna mtu 3 mwenye jinsia ya kike yupo hapo but hatajwi jina cause is like katajwq ju huko kwenye mwanzo wa story
Asante kwa kuliona hill mkuu! Mleta mada anataka kutuaminisha kwamba Jen. Ulimwengu alikuwa na simu ya Mh. Kigwangalla na akairudisha kwake kumbe hapo kati kuna Madam ndiye mwenye hiyo simu!Tuletee habari kamili; kwa haraka haraka mi naona kuna mtu 3 mwenye jinsia ya kike yupo hapo but hatajwi jina cause is like katajwq ju huko kwenye mwanzo wa story
Labda kigwa alikuwa na simu ya mwanamke akampa Ulimwengu na Ulimwengu akampa yule ke simu yake! Vinginevyo kama sivyo basi lugha ya watz Iko poor sana!Hamisi Kigwangalla handed her smartphone [Leyla's smartphone, for example] to Jenerali Ulimwengu, who then signed up for the project at this link . Five minutes later, Jenerali Ulimwengu returned the phone to her [to Leyla].
Hapana mkuu kumbe ni kweli hawa waandishi wa siku hizi Kizunguzungu kinawapiga chenga. Nimesoma habari nzima inaonesha alikuwa anamaanisha simu ya Kigwangalla. Kwamba alimpatia simu yake Jenerali Ulimwengu naye akaingia kwenye link ya Equinox. Kazi kweli kweli!Labda kigwa alikuwa na simu ya mwanamke akampa Ulimwengu na Ulimwengu akampa yule ke simu yake! Vinginevyo kama sivyo basi lugha ya watz Iko poor sana!
Kama ndivyo, basi huyo mwandishi huenda alimwelewa dokta kama HamisA, na wala si Hamisi tunayemfahamu.Hapana mkuu kumbe ni kweli hawa waandishi wa siku hizi Kizunguzungu kinawapiga chenga. Nimesoma habari nzima inaonesha alikuwa anamaanisha simu ya Kigwangalla. Kwamba alimpatia simu yake Jenerali Ulimwengu naye akaingia kwenye link ya Equinox. Kazi kweli kweli!
Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi (2022), idadi ya Watanzania ni takribani milioni 61. Unawezaje kuhitimisha kwamba hao wote lugha yao ni mbovu ukitumia mfano huu mmoja?kama sivyo basi lugha ya watz Iko poor sana