sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
Hata aliyeishia darasa la saba nategemea hatashindwa kuunda sentensi ya Kiingereza kusema kafiwa na bibi yake.
I'm dead with ma grandma!
wakuu,
mbona wengine munaleta stori mingi badala ya kunisaidia tafsiri??
hata kama ni std 7 level, basi iseme tu!!!